Kataa ndoa ni kampeni ya kijinga kuliko zote duniani

Kataa ndoa ni kampeni ya kijinga kuliko zote duniani

hahah kweli kachanganyikiwa eti mkifunga ndoa mnafanya mapenzi peke yenu tu, ameingia mtaani akaona yaliyopo kweli?
Anamaanisha mtakua mfanyi threesome, . Mkeo atakua naenda kunyanduliwa na mabodaboda vichochoni huko, au muha atakuja kumbaruza usipo kuepo home. Hiyo ndo maana ake labda
 
Ndoa ni mpango wa Mungu,ni mpango wenye manufaa makubwa sana kwa binadamu.

Hivi sasa kumezuka kampeni ya kupinga ndoa,kwa musingi ya dosari za kibinadamu baina wa wanawake na wanaume.Hakuna anayekataa

Kuwa ndoa hazina changamoto lakini manufaa yake ni makubwa mno kuliko matatizo.

Ndoa inahusisha binadamu na kila binadamu ana udhaifu,hivyo kupinga ndoa juu ya misingi kuwa zina matatizo ni upofu wa kijinga kabisa.

Tuongezee juhudi watu wazidi kuoana kwa manufaa ya ulimwengu.Pia ni kumtii Mola wetu.Hebu fikiri jinsi ndoa inavyoleta raha mnajamiiana na mwenza wako hata mkiwa ukweni na wala hakuna atakayewauluza kitu.
for sure,
ni aina fulani ya upuuzi duni sana kwa wenye fikra za kukataa ndoa.
halafu wengi wanafarijiana huko sababu kuu ikiwa ni unyonge wa kiuchumi
 
Sector ya ndoa kutema ndoano ni dakika zero tu ,
 
Back
Top Bottom