Kataa ndoa ni kampeni ya kijinga kuliko zote duniani

Kataa ndoa ni kampeni ya kijinga kuliko zote duniani

Kwani kuna ulazima gani wewe ukiwa kwenye ndoa na mimi niingie?

hakuna faida. Ila hoja yangu tangu mwanzo ni mtu kuogopa ndoa kwa kisingizia kuwa ndoa nying zina mitafaruku au kuchana au nk.

Maana mtu unaweza ingia na yasiwepo yote hayo.

Ndio haswaa hoja yangu.
Na sio kulazimisha mtu. Mwenyewe mdogo wangu anayenifuata ana 32 yrs wa kiume na hajaoa.
 
Mtu anaweza ogopa yaliyopo ndoani na akacha kuoa , mimi sioni tatizo lake ni maamuzi tu
 
Mimi swali langu ni dogo tuu!
Ni lini na kwa vipi Mungu alileta dini?
Tutahama mada bro.
Maana najua hautaridhika na jibu na utauliza tena na tena.

awe ameleta au hajaleta.
Awe yuko au hayuko.

Kwangu mm naona ni faida kama nikiamini yuko alaf nisimkute.
 
Back
Top Bottom