Kataa Ndoa School of Thought, ni upi mtazamo wenu juu ya Masuala haya?

Tukio lake la kuli na kusaga meno lipo njian linakuja.
 
Familia sio Ndoa
Ndoa n muungano wa hiari kati ya mtu Me na mtu Ke walio amua kwa mapenz yao kwa hiari yao kuishi pamoja

Familia n muungano wa ki-damu au sio ki-damu kati ya Mamq,Baba na Watoto au Mama na Watoto au Baba na Watoto au Baba na Mama pasipo Watoto

Kujamiana/Kutiana sio Ndoa mzee tendo lipo tu unaweza pata popote

hayo mengne ya jamii itakuonaje n ziada tu kama utaamua kuisha kwa ajir ya watu hewala yako
 
Pia ongezea hapo wale team LGBTQ
 
Familia ni kitu chema,ila ndoa ni wiiiizi mtupu
 
Sio wanawake, mwanamke wako.
 
Lakini hata ukikataa ndoa pindi utakapoishi na mwanamke nyumba moja kwa muda wa miaka miwili na kuendelea sheria itamtambua kama mkeo halali wa ndoa na bado atakuwa na hali zote, hapo unakwepa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…