Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

True Believer

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2019
Posts
586
Reaction score
886
Habarini wakuu,

Hivi karibuni kumeibuka mjadala wa baadhi ya wanaume kukataa NDOA, (dronedrake ) muda huohuo pia kua baadhi ya wanaume wanakimbilia NDOA.

Jambo hili linaibua hisia za wanaume na wanawake wengi pia, na vilevile linapelekea wengine kubaki kwenye kitendawili cha kufuata NDOA au kukataa NDOA. Wenye uzoefu wa NDOA tunaomba msaada wenu wa kwanini mliweza kuikimbilia NDOA. Na wale pia KATAA NDOA, mtueleze pia sababu zipi zinapelekea MKATAE NDOA.

Lengo tushare EXPERIENCE kwa sisi ambao hatujaoa tujue ambayo tusiyoyajua juu ya FAIDA/HASARA za KATAA na KUBALI NDOA.
download.jpg
images.jpg
 
Kama unasubiri ushauri wa hapa JF ndio uamue kuoa au kutokuoa basi una safari ndefu sana katika maisha yako.
Hapana mkuu, sisubiri ushauri wa hapa ili nioe. Mimi ninavyojua kuoa huwa mtu hashauriwi, huja tu AUTOMATICALLY. Sasa nafikiri pia inaweza isiwe automatically thus y.. tunashare experience.
 
Back
Top Bottom