mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
siwezi kuelezea vizuri, 'poor social life' nimemaanisha mtu anaeshindwa kutengeneza mahusiano na watuIt seems ni bonge la kitabu, kwenye kutokuoa ni dalili ya upoor pia hakikutoa sababu??
kitabu kinaitwa 'a sense of wellbeing in america' by angus campbell