Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Wote wenye mawazo ya kataa ndoa bado ni watoto. Na Wana akili za kitoto. Kuna lakn mwanaumme aliye na akili za kiume. Kuoa ni kipaumbele no moja.

Wengine wakishatendwa huona wanawake wote hawamfai. Anaona Bora Aishi bila mke. Kwangu furaha no moja huwa naipata Kwa mke wangu na watoto wangu. Hata kama nimekwazwa na mtu kiasi Gani. Ninapofika nyumban kwangu nikafa chakula mezan na family yangu. Furaha na amani hunijia ghafula.

Chin ya jua Kuna wanawake na wanaumme wazuri Sana. Vs chini ya jua Kuna wanawake na wanaumme Vimeo Sana. Shida ni kumpta mtu sahihi.
 
Faida za kuoa- furaha
Hasara za kuoa-............(hamna)
Kama unaamini kuna hasara za kuoa pole mzee.
Hakuna hasara za kuoa but kuna hasara za kuoa mwanamke usiye endana nae.
Oa mwanamke unayempenda na ww anakupenda.
Ukiona mwanamke anayekupenda na ww humpendi basi tuu labda katoka familia tajiri, aisee hutokuwa na furaha kweny maisha yako ya ndoa.
Ukioa mwanamke unayempenda ila yeye hakupendi, hapo ndo utafahamu stress ni nn.
Oa mwanamke mnayependana, regardless hali ya familia yake ili mradi mnapendana.
Huu ni ushauri tuu unaweza fanya unavojua ww.
Uko vizuri sana wanaume wengi wangekuwa wanafikiria km wew mambo yangebadilika sana
 
Mwanaume unakataaje kuoa.
Ndo kitu pekee kinacholeta furaha maishani mwetu.
Unadhani ukifanya kazi sana ndo utakuwa na furaha??
Unadhani ukiwa na wanawake ishirini ndo utakuwa na furaha??
Mwanamke ndo kitu pekee kinachotupa furaha maishani, sio mwanamke tuu bali ni yule mwanamke unayeishi naye kihalali kwa ndoa, ukisema "Hela" inakupa furaha nitakuona mwongo sana kwa sababu hata hao matajiri wa dunia wameoa.
Kukataa kuoa ni weakness kwa sababu unakwepa ku-deal na mapungufu yako na mapungufu ya huyo utakae muoa.
Avoiding marriage is going against nature.
Chief sipingi ndoa ila hapana, mwanamke sikitu kinachompa furaha mwanaume duniani, hahahaha. Kwamtu aliyezoea kuishi mwenyewe tangu chuo mpaka kazini, am telling you siamini na sitokuja kuamini kabisa. Maishani kuna mengi ila furaha inatoka ndani yako, life has many to offer. Wanawake ni binadamu wenzetu nothing new my friend.
 
Kataa ndoa wanasema kama mwanamke Tajiri oa...
Wao hawataki mwanamke masikini tu...
Mwanamke masikini hana upendo wa dhati yupo na wewe kwa njaa zake na utatue shida za ukoo wake.
 
ntajuaje kama ananipenda au kapenda my money?
Mwanamke anayekupenda utaona tuu machoni pake, macho yake yanajaa furaha akikuona, mwanamke anayekupendea hela atakuwa na furaha tuu pale unapotoa wallet na huwa wanajichekesha kiboya hata kama umeongea kitu cha kipumbavu.
Mwanamke anayekupendea hela kila muda anaongelea mambo ya hela na kila muda anataka utumie hela zako kumfurahisha yeye hajali hisia zako na hawez kukaa mkapiga story ndefu kuhusu kuyajenga maisha yenu nyinyi wawili.
Mwanamke anayekupenda wana tabia ya kukuangalia usoni muda mrefu bila kusema chochote.
Hizi hints chachechache zilizokuja akilini
 
Ndoa haina ubaya wowote,

Ndoa ni kama barabara iliyochongwa na kuwekwa vibao na alama kwa ajili ya watumiaji
Ni mtazamo
mkuu unasema tu. . . . . . . . . . , . Yaan unakuta mtu una duka afu mke wa mtu anakuja kukopa makusudi afu halipi na ni mke wa tajiri kbsa kuliko ata mimi... Afu anajua kbsa na mimi ni mme wa mtu. . . . . . . . . . Af et "Ray hela yako utaijia basi nyumban saa 4 asubuhi nije nikupe na mfuko ukanipimie mchele badae nakuja kuuchukua jioni"
 
Faida za kuoa- furaha
Hasara za kuoa-............(hamna)
Kama unaamini kuna hasara za kuoa pole mzee.
Hakuna hasara za kuoa but kuna hasara za kuoa mwanamke usiye endana nae.
Oa mwanamke unayempenda na ww anakupenda.
Ukiona mwanamke anayekupenda na ww humpendi basi tuu labda katoka familia tajiri, aisee hutokuwa na furaha kweny maisha yako ya ndoa.
Ukioa mwanamke unayempenda ila yeye hakupendi, hapo ndo utafahamu stress ni nn.
Oa mwanamke mnayependana, regardless hali ya familia yake ili mradi mnapendana.
Huu ni ushauri tuu unaweza fanya unavojua ww.
Upendo ni jambo mtambuka, lingekuwa obvious wala watu wasingehangaika. Maisha sio black and white, don't shame another person kwakutumia opinions zako juu ya swala nyeti ya ndoa. Watu wamepitia mengi, ukiona mtu kafika hatua ya kuikataa ndoa sio kama ni kitu cha kukurupuka kuna mzizi upo. Nauwezi kuuondoa kwa kukata tawi, never, lasivyo watu watfunga ndoa ila zitavunjika in weeks or months.
 
kwel kbsa, mm naona TALAKA Ndio mkombozi wa wana ndoa
Talaka sio ukombozi, talaka ni matatizo tuu tena tatizo kubwa mkiwa tayar mna watoto, kusameheana na kuendelea kuishi pamoja ndo jambo la msingi.
 
Chief sipingi ndoa ila hapana, mwanamke sikitu kinachompa furaha mwanaume duniani, hahahaha. Kwamtu aliyezoea kuishi mwenyewe tangu chuo mpaka kazini, am telling you siamini na sitokuja kuamini kabisa. Maishani kuna mengi ila furaha inatoka ndani yako, life has many to offer. Wanawake ni binadamu wenzetu nothing new my friend.
kuna kujilazimisha kuwa na furaha na kuwa na furaha halisi, kazi kwako kuamua.
 
Mwanamke anayekupenda utaona tuu machoni pake, macho yake yanajaa furaha akikuona, mwanamke anayekupendea hela atakuwa na furaha tuu pale unapotoa wallet na huwa wanajichekesha kiboya hata kama umeongea kitu cha kipumbavu.
Mwanamke anayekupendea hela kila muda anaongelea mambo ya hela na kila muda anataka utumie hela zako kumfurahisha yeye hajali hisia zako na hawez kukaa mkapiga story ndefu kuhusu kuyajenga maisha yenu nyinyi wawili.
Mwanamke anayekupenda wana tabia ya kukuangalia usoni muda mrefu bila kusema chochote.
Hizi hints chachechache zilizokuja akilini
asante sana kwa kuchangia , lakn kazi kumpata akupendae, unajua unaweza kumpenda msichana afu yeye hana ata chembechembe za feelings kwako... Ko unakuwa na kazi ya kumfanya akupende na wakati huo yeye anampenda mwingne, inshort KUMPATA AKUPENDAE HUWA NI BAHATI SANA...
 
Upendo ni jambo mtambuka, lingekuwa obvious wala watu wasingehangaika. Maisha sio black and white, don't shame another person kwakutumia opinions zako juu ya swala nyeti ya ndoa. Watu wamepitia mengi, ukiona mtu kafika hatua ya kuikataa ndoa sio kama ni kitu cha kukurupuka kuna mzizi upo. Nauwezi kuuondoa kwa kukata tawi, never, lasivyo watu watfunga ndoa ila zitavunjika in weeks or months.
Kwanza kabisa, I didn't shame anybody, sio tabia yangu labda umenielewa vibaya.
Chingine vitu ulivoongea vyote ni sawa kulingana na mtazamo wako na ndo maana tunajadili hapa, unaposema "Watu wamepitia mengi, ukiona mtu kafika hatua ya kuikataa ndoa" unamaanisha watu gani hapa, walio divorce au single people?
 
kuna kujilazimisha kuwa na furaha na kuwa na furaha halisi, kazi kwako kuamua.
Itafsiri hiyo furaha ya kujilazimisha na hiyo furaha halisi, hahaha. Unaongelea hisia rafiki, you never know when they come and when they evaporate. Ila jua ubongo wako ndio hutengeneza hisia ila no one knows whats the true meaniing of happiness maana hisia haziwezi kuwa proved scientifically. Tambua, binadamu hatufanani, starting from the genes hivyo maishani usifikiri intelligence both emotional and logical zitafanana. Life is never black and white. Nitaweza kukupa mifano ya twisted minds hutaamini, ila ndio maisha hayo.
 
asante sana kwa kuchangia , lakn kazi kumpata akupendae, unajua unaweza kumpenda msichana afu yeye hana ata chembechembe za feelings kwako... Ko unakuwa na kazi ya kumfanya akupende na wakati huo yeye anampenda mwingne, inshort KUMPATA AKUPENDAE HUWA NI BAHATI SANA...
Ni bahati ndio nakubali, ndo maana inabidi tunatafute sana mungu atuepushe na wanawake wenye nia mbaya na sisi....ila kusema ukweli kweny maisha ya mwanaume mpaka anafikisha miaka 30 kuna mwanamke mmoja au wawili waliopenda kwa dhatu either walimwonyesha na hakutambua au aliwagonga akaachana nao alaf asaiv unajitia unatafuta anaekupenda🤣🤣🤣🤣 ni utani tuu lakini kuna ukweli sisi sote kuna kipindi tulishawahi kupendwa na mwanamke and we took it for granted.
 
Back
Top Bottom