True Believer
JF-Expert Member
- Mar 6, 2019
- 586
- 886
Hapana mkuu, sisubiri ushauri wa hapa ili nioe. Mimi ninavyojua kuoa huwa mtu hashauriwi, huja tu AUTOMATICALLY. Sasa nafikiri pia inaweza isiwe automatically thus y.. tunashare experience.Kama unasubiri ushauri wa hapa JF ndio uamue kuoa au kutokuoa basi una safari ndefu sana katika maisha yako.
Kwahy sometime huwa ni suala la economic status ya mtu ndyo hupelekea maamuz[emoji15][emoji15]Kataa ndoa wanasema kama mwanamke Tajiri oa...
Wao hawataki mwanamke masikini tu...
Y mkuu??Marriage is scam
Ngoja waje wenyewe wakujibuKwahy sometime huwa ni suala la economic status ya mtu ndyo hupelekea maamuz[emoji15][emoji15]
Tukae paleeee [emoji117][emoji117]TUMSUBIRI, aje tuongee lugha moja[emoji23][emoji23][emoji23]
Well, kilitoa sababu zipi pale ambapo muoaji na furaha while single being so sad?kuna kitabu nilisoma kinasema mwanaume aliyeoa akizeeka anakua na furaha kuliko ambae hajaoa
Mara nyingi mwanamke tajiri, huangalia sana utamu-offer nini kabla hajajiingiza kwenye mahusiano na wewe, Pili hakuna kitu kibaya katika uzoefu wangu wa mapenzi kama MWANAMKE akuzidi KIPATO.Oa mwanamke tajiri
hakikutoa sababu kilikua kinaonesha takwimuWell, kilitoa sababu zipi pale ambapo muoaji na furaha while single being so sad?
It seems ni bonge la kitabu, kwenye kutokuoa ni dalili ya upoor pia hakikutoa sababu??hakikutoa sababu kilikua kinaonesha takwimu
ila kinasema kutokuoa ni dalili ya 'poor social life' kwa wanaume
Well, kilikukuta/umeona nini mpaka unadiliki kusema haya mkuu?Ndoa ni utapeli tu ndoa ni ndoano
Niliachwa kakaWell, kilikukuta/umeona nini mpaka unadiliki kusema haya mkuu?