Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Marriage is nature. You can't go against nature.

Hao mnaowaita kataa ndoa mda wao wa kuoa haujafika. Ukifika wataoa tena kwa sherehe kubwa.

Mambo mengine watu wanasema tu kujiliwaza.
Hata nami naamini uaminivyo, kwakuwa wewe upo huko mkuu, tuandalie external motivation bc [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Sorry,mawazo yako yana walakini sana. So,wewe umekaa ukatafakari kwa kina na kuja na hoja hii? Eti "Ndoa ni kitu pekee kinacholeta furaha".

Kataa ndoa,ndoa ni utapeli.
Kwanini tukatae NDOA mkuu, na kwanini unataka kutuaminisha NDOA ni UTAPELI??
 
Cc: Vintage1q

Welcome new member of Kataa Ndoa
 
Marriage is nature. You can't go against nature.

Hao mnaowaita kataa ndoa mda wao wa kuoa haujafika. Ukifika wataoa tena kwa sherehe kubwa.

Mambo mengine watu wanasema tu kujiliwaza.
Marriage sio nature ila ni legal custom machoni pa watu.

Reproduction ndo nature. Unaweza reproduce bila hata ndoa. Lengo kuu la nature ni kwamba the strongest anaacha copy na the weakest haachi copy.
 
Huyo mwanamke wa kuishi naye akupe furaha ni wa kile kizazi cha enzi zile ila sio hawa wa 50 kwa 50
Sa hivi ukioa tu jiandae na presha, kisukari, na magonjwa mengine sugu(sio Mr 2)
 
Wanaume wasio oa mapema wanaishia kuwa wapweke wakizi kukua na kuanza kutafuta vitoto vidogo.. wanajaza tamaa.. nduguzo hawatakutunza uzeeni
Wanaoishi maisha ya upweke ni wasiomjua Mungu. Ukimjua huishi mpweke, usidanganye umma.

Mtume Paulo na Mtume Yohana hawakuishi wapweke na hawakuoa.
 
Hapo kataa ndoa wana hoja nzuri.

Nauliza swali Je wanawake matajiri huwa wanakubali kuolewa na wanaume maskini ?

Maskini wengi wana akili ndogo, washirikina na wachawi wachawi

Bilnass kumuoa Nandy ni bonge ya akili kwenye career yake .
Hapana mkuu nakataa na ni ubaguzi wa hali ya juu kuwaita masikini wengi n wachawi na hawana akili, mafanikio ni kibali ambacho hutoa MUNGU. Kuwa tajiri sio ujanja na wala kuwa masikini sio ujinga.

Nikija kwa mifano: wangapi walikuwa masikini na now days ni matajiri wakubwa na hawajafirisika kama ulivyonena yakuwa masikini wengi hawana akili i.e hopler, Diamond platinum,Carter-lil wayne, Barack Obama, The late Abraham Lincoln etc.

Linapokuja suala la kuoa ni bora kuangalia hitaji la moyo wako, na sio kuagalia KIPATO cha mwanamke.

Wapendao kuoa mwanamke tajiri kwa utashi wangu ni wavvu, hupenda sana mseleleko. Pesa ni after ila upendo hutangulia kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…