Kataa ndoa wenzangu wamenitenga

Unaoaje Ili kuwakomoa watu!?

Unaoa Ili kuprove point Kwa watu!?

Hapo unaoa Kwa mapenzi au Kwa show off

Ndiyo maan nasema hujielewi
Nmekuelewa sasa
Kwanza sjionesh kwa mtu sabab naish nae tangu nasepa home 3yrs ago
Pili sna chakuprove humu kwayyte maana hamtakuwepo kwenye sherehe wa hatujuani physically na watu wa humu
Tatu nisngekua nampenda nisngeishi nae for more than 3yrs
 
Dronedrake alikua T-bag πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
kiongozi wao dronedrake ameishi jela miaka yale yote anawaogopa wanawake kinyamaπŸ˜„ ila huyu Santos06 wanampotezq hil kundi la kataa ndoa alikuw kijana mzuri sana na alipata kuwa kiongozi wa vijana kanisaniπŸ˜€
 
We bado mwanafunzi banah, utaishia kuchapiwa tu then uje tena humu unatia tia huruma.
Ila kama unaishi nae kwa amani basi hongera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…