Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Hauoi Kwa sababu unapenda ila unaoa Ili kuprove point Kwa watu bakiSasa kama nakaa nae nashndwaje kuoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauoi Kwa sababu unapenda ila unaoa Ili kuprove point Kwa watu bakiSasa kama nakaa nae nashndwaje kuoa
Ww umeolewa? Bwana wako muoaj au unayaona ya wenzio tu wakat wenyw uskute hapo ulipo unaishi kwa shemej yakoHakuna muoaji hapo.
Jamaa wanamtenga mwenzao aisee 😅😅😅Apostoooooo
Itarange kwenye kuanzia tarehe 7 hadi 14 mtasainishwa! Itakua semester ya pili mlianza mapema lkn Kwa wale ambao semester ya pili ilianza mwezi wa tatu mwishoni au nne mwanzon watasaini mwezi wa tano tar za 20+Tarehe 9 kwetu
Sasa kama anaoa,Kuna haja Gani Wana kataa Ndoa wakaendelea kuwa naye wakati kanyea kambiJamaa wanamtenga mwenzao aisee 😅😅😅
Nmekuelewa sasaUnaoaje Ili kuwakomoa watu!?
Unaoa Ili kuprove point Kwa watu!?
Hapo unaoa Kwa mapenzi au Kwa show off
Ndiyo maan nasema hujielewi
Oa,Nmekuelewa sasa
Kwanza sjionesh kwa mtu sabab naish nae tangu nasepa home 3yrs ago
Pili sna chakuprove humu kwayyte maana hamtakuwepo kwenye sherehe wa hatujuani physically na watu wa humu
Tatu nisngekua nampenda nisngeishi nae for more than 3yrs
Kabsa sisi tunachukua kwa fingerprint inawah sanaItarange kwenye kuanzia tarehe 7 hadi 14 mtasainishwa! Itakua semester ya pili mlianza mapema lkn Kwa wale ambao semester ya pili ilianza mwezi wa tatu mwishoni au nne mwanzon watasaini mwezi wa tano tar za 20+
SawaOa,
Nobody cares
Ushamba gani? Embu toa mfanoUshamba tu unamsumbua
Nlisema ntaoa nikiwa 80+Sasa kama anaoa,Kuna haja Gani Wana kataa Ndoa wakaendelea kuwa naye wakati kanyea kambi
mshamba_hachekwiUshamba gani? Embu toa mfano
mshamba_hachekwiUshamba tu unamsumbua
kiongozi wao dronedrake ameishi jela miaka yale yote anawaogopa wanawake kinyama😄 ila huyu Santos06 wanampotezq hil kundi la kataa ndoa alikuw kijana mzuri sana na alipata kuwa kiongozi wa vijana kanisani😀
Kabsa sisi tunachukua kwa fingerprint inawah san
Uzuri wa fingerprint uwe unatumia CRDB ila kama ni NMB kidogo hua inachelewa kidogoKabsa sisi tunachukua kwa fingerprint inawah sana
KabsaUzuri wa fingerprint uwe unatumia CRDB ila kama ni NMB kidogo hua inachelewa kidogo
Yaan inachefua sana
😄😄😄😄Yaan inachefua sana