Kataa ndoa wenzangu wamenitenga

Kataa ndoa wenzangu wamenitenga

Unaoaje Ili kuwakomoa watu!?

Unaoa Ili kuprove point Kwa watu!?

Hapo unaoa Kwa mapenzi au Kwa show off

Ndiyo maan nasema hujielewi
Nmekuelewa sasa
Kwanza sjionesh kwa mtu sabab naish nae tangu nasepa home 3yrs ago
Pili sna chakuprove humu kwayyte maana hamtakuwepo kwenye sherehe wa hatujuani physically na watu wa humu
Tatu nisngekua nampenda nisngeishi nae for more than 3yrs
 
We bado mwanafunzi banah, utaishia kuchapiwa tu then uje tena humu unatia tia huruma.
Ila kama unaishi nae kwa amani basi hongera.
 
Back
Top Bottom