oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 790
- 2,079
Kwa hiyo na wewe nae tajiri? Hizo sifa nilizotaja hapo matajiri wote wanazo ila kuna kitu kinaitwa 'gape' ukiona isiache ipite hivihivi unapitia nayo ndio inaongeza inakupeleka kwenye utajiriHapo kwa Mungu nimekubaliana mawe asilimia zote ila hayo mengine umetaja inaonyesha wazi hujui hela ndefu inakuja vp.....matajiri wengi tungeongea njia tulizopita kufika hapa , wengi wangeshtuka .
Ila kama unaongelea hela ya kula , sawa tu
This applies under ceteris puribus.Maisha yanaambaatana na bahati unaweza kuahangaika mpaka lkn hutoboi. Tupambane tu ila tukublau kuwa bahati nayo Ina nafasi yake
Maisha yanaambaatana na bahati unaweza kuahangaika mpaka lkn hutoboi. Tupambane tu ila tukublau kuwa bahati nayo Ina nafasi yake
Sawa mjuaji.This applies under ceteris puribus.
Achana na mambo ya bahati iv kuna mtu anajijua kwamba yeye kaziliwa na bahati hio ni misemo baada ya mtu akishafeli.
Unaihujumu CCM, hatuwezi wote kuishi kama mabwana wakubwa, unataka tusiwe na wanaotuomba na kutupigia makofi.Nawasalimu nyote.
Umasikini ni laana, tafiti tofauti zinaonyesha umasikini unarithishwa kwa hiyo unatakiwa kukaa ki machale kijana mwenzangu uliezaliwa kwenye familia masikini ili uondokane na hiyo laana isikukute wewe na vizazi vyako vinavyokuja vunja kabisa hilo daraja unatakiwa upambane sana katika uatafutaji wako ukifeli tu unakua daraja la laana. Fanya yafuatayo kuondoa hiyo laana.
1. Fanya kazi kwa bidii/ ufanisi
2.Uaminifu katika kazi.
3.Acha chuki na roho mbaya
4.Amini katika mungu
5.Acha ngono zembe/ Uasharati
6.Usishindane na mtu katika utafutaji wako( Kua na malengo yako).
Ongeza zingine ili wote tuzijue.
Mjuaji wa nini we mchumba.Sawa mjuaji.
Hio ndio point namba 1 nimeweka hapo.Usiisingizie laana, pambana.
Baada ya kua muaminifu siku nyingi bila mafanikio, nikaamua kwenda kinyume na hii pointi. Na mafanikio yake ni makubwa😋2.Uaminifu katika kazi.
Ukienda kinyume na hii ipo siku yako ita back fire utakiona cha moto.Baada ya kua muaminifu siku nyingi bila mafanikio, nikaamua kwenda kinyume na hii pointi. Na mafanikio yake ni makubwa😋
Hapa ndo patafanya uchelewe mkuuipo siku yako ita back fire utakiona cha moto.
Bora kuchelewa ila hio yako hainaga mwisho mzuri.Hapa ndo patafanya uchelewe mkuu