Kataa umasikini

Kataa umasikini

oko majimaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
790
Reaction score
2,079
Nawasalimu nyote.
Umasikini ni laana, tafiti tofauti zinaonyesha umasikini unarithishwa kwa hiyo unatakiwa kukaa ki machale kijana mwenzangu uliezaliwa kwenye familia masikini ili uondokane na hiyo laana isikukute wewe na vizazi vyako vinavyokuja vunja kabisa hilo daraja unatakiwa upambane sana katika uatafutaji wako ukifeli tu unakua daraja la laana. Fanya yafuatayo kuondoa hiyo laana.
1. Fanya kazi kwa bidii/ ufanisi
2.Uaminifu katika kazi.
3.Acha chuki na roho mbaya
4.Amini katika mungu
5.Acha ngono zembe/ Uasharati
6.Usishindane na mtu katika utafutaji wako( Kua na malengo yako).
Ongeza zingine ili wote tuzijue.
 
Hapo kwa Mungu nimekubaliana mawe asilimia zote ila hayo mengine umetaja inaonyesha wazi hujui hela ndefu inakuja vp.....matajiri wengi tungeongea njia tulizopita kufika hapa , wengi wangeshtuka .
Ila kama unaongelea hela ya kula , sawa tu
Kwa hiyo na wewe nae tajiri? Hizo sifa nilizotaja hapo matajiri wote wanazo ila kuna kitu kinaitwa 'gape' ukiona isiache ipite hivihivi unapitia nayo ndio inaongeza inakupeleka kwenye utajiri
 
Maisha yanaambaatana na bahati unaweza kuahangaika mpaka lkn hutoboi. Tupambane tu ila tukublau kuwa bahati nayo Ina nafasi yake
This applies under ceteris puribus.
Achana na mambo ya bahati iv kuna mtu anajijua kwamba yeye kaziliwa na bahati hio ni misemo baada ya mtu akishafeli.
 
Muhubiri 9:11
Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.

natajaribu tu kutafakari?
 
Maisha yanaambaatana na bahati unaweza kuahangaika mpaka lkn hutoboi. Tupambane tu ila tukublau kuwa bahati nayo Ina nafasi yake

Sure Ila hauwezi Ku-work smart ukatoka 0-0 then if you don't understand the world of sipiritual you will hustle in vain forever

There's hidden hand (mystery) in making money and living a Good life
 
Nawasalimu nyote.
Umasikini ni laana, tafiti tofauti zinaonyesha umasikini unarithishwa kwa hiyo unatakiwa kukaa ki machale kijana mwenzangu uliezaliwa kwenye familia masikini ili uondokane na hiyo laana isikukute wewe na vizazi vyako vinavyokuja vunja kabisa hilo daraja unatakiwa upambane sana katika uatafutaji wako ukifeli tu unakua daraja la laana. Fanya yafuatayo kuondoa hiyo laana.
1. Fanya kazi kwa bidii/ ufanisi
2.Uaminifu katika kazi.
3.Acha chuki na roho mbaya
4.Amini katika mungu
5.Acha ngono zembe/ Uasharati
6.Usishindane na mtu katika utafutaji wako( Kua na malengo yako).
Ongeza zingine ili wote tuzijue.
Unaihujumu CCM, hatuwezi wote kuishi kama mabwana wakubwa, unataka tusiwe na wanaotuomba na kutupigia makofi.
 
Baada ya kua muaminifu siku nyingi bila mafanikio, nikaamua kwenda kinyume na hii pointi. Na mafanikio yake ni makubwa😋
Ukienda kinyume na hii ipo siku yako ita back fire utakiona cha moto.
 
Back
Top Bottom