Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Madaraka ya kulevya.Huyu jamaa anapenda sana kuwatishia watu
boya hiloHuyu jamaa anapenda sana kuwatishia watu
unataka ushahidi gani. kama wanabisha vipimo vipo!... KWELI KABISA! ... Unamuita mtu shoga kwa ushahidi gani?
Katika hilo wataalamu watujuze mapungufu ya kisheria na kikatiba yapo mahali gani ili kila mumoja ndani ya taifa letu afahami muhimu wa uelewa wa katiba yetu na Sheria zinazoambatana nayo,kwani a njema kulenga taifa la kizalendo,lenye kujali katiba,Sheria na haki kwa usawa na uwajibikaji.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Katambi amempa onyo kali sana kwa Msanii Afande Sele baada ya kujirekodi video akitoa kauli pia akimwambia asifanye mzaha.
Soma Pia: Afande Sele: Si sahihi Waziri Katambi kumuita Dudu baya kwenye Meza walipokaa wenye tuhuma za Ushoga
Mange nae aitweWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Katambi amempa onyo kali sana kwa Msanii Afande Sele baada ya kujirekodi video akitoa kauli pia akimwambia asifanye mzaha.
Soma Pia: Afande Sele: Si sahihi Waziri Katambi kumuita Dudu baya kwenye Meza walipokaa wenye tuhuma za Ushoga
Anaonekana ana tatizo la inferiority complex. Sijui ni background yake au ni ka-umbo kake kama kidonge cha piriton lakini kajamaa ana hayo matatizo na ndiyo maana muda wote anataka ku- compensate inferiority aliyonayo. Ni sampuli moja na kale ka-rais ka Zambia, kwa sasa ni marehemu, walikokuwa wana-kaita political dwaf! Bure kabisa!Huyu jamaa anapenda sana kuwatishia watu
Unataka ushahidi kujua Anko T wanamchimba madini?... KWELI KABISA! ... Unamuita mtu shoga kwa ushahidi gani?
Wasanii walikuwa wanajifanya wanajua sana sasa wanavuna walichopanda