The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 8,855
- 28,752
Umeghani na mashairi kesho na keshokutwa ukipata barua ya wito na wewe usivunje uwa kama Dudu Baya na mwenzake Sele!Kama angekuwa Jidenna ningemchezesha Bambi,,
Jinsi navyomchezea kama mpira wa Sambi,,
Kichwa hakifai dread lazima ziote tambi,,
Bora angetengeneza couple na yule Mange Kimambi,,