sijui kuna nini kinaendelea ,ukisikia niambieHuko tanzania kuna nini kwani?
Ova
Siku zote vijitu vyenye miili midogo maarufu kama mbavu nene huwa vinapenda sana kujitutumua. Sasa mtu kama Katambi ni wa kumkoromea Afande Sele kweli!!!Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Katambi amempa onyo kali sana kwa Msanii Afande Sele baada ya kujirekodi video akitoa kauli pia akimwambia asifanye mzaha.
Soma Pia: Afande Sele: Si sahihi Waziri Katambi kumuita Dudu baya kwenye Meza walipokaa wenye tuhuma za Ushoga
Anaongoza kwa fikra za kizamani sana huyu dogoCheo chake ni kikubwa sana ukiangalia na anayofanya.
Au hawajui
Kama ilivyoKivipi wanavuna walichopanda?
"Wenye shutuma za ushoga"... KWELI KABISA! ... Unamuita mtu shoga kwa ushahidi gani?
Wasanii wa vinyeo.Noel na juma lokole ni wasanii wa nini?
Mumuoneeni huruma amesema hajala kwa wakati waziri nae ni binadamuIshu yenyewe tu ni mzaha mzaha tu, waziri na hiki anachohangaika nacho havifanani kabisa.
Ila zile swaga za kishamba za "unajua mi ni nani"Huyu jamaa anapenda sana kuwatishia watu
Mh. Waziri ungemkamata yule mvuta bangi, hana adabu, anadhalilisha watu kwanini? Kamateni afundishwe adabu!Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Katambi amempa onyo kali sana kwa Msanii Afande Sele baada ya kujirekodi video akitoa kauli pia akimwambia asifanye mzaha.
Soma Pia: Afande Sele: Si sahihi Waziri Katambi kumuita Dudu baya kwenye Meza walipokaa wenye tuhuma za Ushoga
Wengi hawajui wajibu waoAnaongoza kwa fikra za kizamani sana huyu dogo
Na haya yote anafanya ili aonekane anafanya,anasahau ya mtaka nyingi nasaba........Wengi hawajui wajibu wao
Jamaa anajikuta kama mungu sasa anatishia tishia watu, waziri wa mambo ya ndani muda wote yupo na media ,bure kabisaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Katambi amempa onyo kali sana kwa Msanii Afande Sele baada ya kujirekodi video akitoa kauli pia akimwambia asifanye mzaha.
Soma Pia: Afande Sele: Si sahihi Waziri Katambi kumuita Dudu baya kwenye Meza walipokaa wenye tuhuma za Ushoga
..unahitaji ushahidi mtu anajiita shoga yeye mwenyewe.... KWELI KABISA! ... Unamuita mtu shoga kwa ushahidi gani?
Kama angekuwa Jidenna ningemchezesha Bambi,,Yaani wanavyomtesa huyu katambi,
Wala sidhani kama ataotwa na kitambi,
kitendo cha jamaa kukataa lake ombi,
Kitamfanya ahesabiwe mwenye dhambi.
Jobless_Billionaire.
Makosa yao ni yapi yaani?NIMECHUKIA KWELI KWELI,UNAITWA NA MAMLAKA UNADHARAU?, WAKIFIKA TU NDANI KWANZA SIKU 7 WAJIFUNZE KUHESHIMU WITO!...MENGINE NDIPO YAENDELEE