Katambi ampa onyo kali Afande Sele. Hatufanyi mzaha

Siku zote vijitu vyenye miili midogo maarufu kama mbavu nene huwa vinapenda sana kujitutumua. Sasa mtu kama Katambi ni wa kumkoromea Afande Sele kweli!!!
 
Awamu hizi mbili hasa hii ya sasa imejua sana kudogosha vyeo vya viongozi wa serikali

Siku hizi hakuna mtu anatishika na kauli za waziri wa mambo ya ndani hata kama ni za amri kwasababu vyeo vyao wamevifanya kuwa vya mambo yasiyoeleweka. Hii inaondoa hadhi ya kiuongozi

Kwa mfano, hizi drama anazoendelea nazo waziri zina impact gani? Zina tija gani kwa jamii?

Hao anaowaita wameitwa mara ngapi na nini kimewahi kutokea?

TISS tusaidieni kulinda heshima ya viongozi kwa kuweka watu wanaojua majukumu yao na mipaka yao ya kazi

Polisi kuna kila idara na madawati kibao

Wasanii wana mabaraza yao na mamlaka zinazo wasimamia, kama wanashinda na waziri kila siku hizi mamlaka za chini zitafanya kazi gani?
 
Yaani wanavyomtesa huyu katambi,
Wala sidhani kama ataotwa na kitambi,
kitendo cha jamaa kukataa lake ombi,
Kitamfanya ahesabiwe mwenye dhambi.

Jobless_Billionaire.
Kama angekuwa Jidenna ningemchezesha Bambi,,

Jinsi navyomchezea kama mpira wa Sambi,,

Kichwa hakifai dread lazima ziote tambi,,

Bora angetengeneza couple na yule Mange Kimambi,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…