Katambi ampa onyo kali Afande Sele. Hatufanyi mzaha

Wajhondaa ghugyiraaa ghugyiraa, mughyiira minaanyu, ve we dokuta na?

Haha umenikumbusha ve we dokita naa? Anha mweso warhenda yhesu naaa? 🤣

Kwamba the whole thing is mzaha sio?
Kwahiyo amemuita Afande au amemsamehe?
Itabidi aende ili akasamehewe. Ila tumeyakanyaga sana jamani.
 
NIMECHUKIA KWELI KWELI,UNAITWA NA MAMLAKA UNADHARAU?, WAKIFIKA TU NDANI KWANZA SIKU 7 WAJIFUNZE KUHESHIMU WITO!...MENGINE NDIPO YAENDELEE
Huwezi kumuita mtu kwa kutangaza kwenye social media, Sheria gani inasema hivyo?

Then unawaita kwa vikundi, kama ana kosa Kuna taratibu za kufuata, siyo unatoka tu mbele eti namuita Fulani, ujinga mtupu.
 
Jamaa ni hovyo sana!

Mnooo!
Kwanza Unamwitaje mtu kupitia social media, ndiyo Sheria na taratibu za kipolisi zipo hivyo? Kama siyo ulevi na kiburi Cha madaraka kinawasumbua wajinga Hawa.
Mkuu huu ni zaidi ya ulevi sijui tuiteje, ana kiburi ule jamaa sio cha dunia hii. Nilimsikiliza kwenye siara siku moja anabishana na kiongozi alooo!
 
Amini nakwambia, viongozi wetu wengi ni washamba, MALIMBUKENI wa madaraka, chunguza tu utang'amua jambo
 
TISS wasaidie nini?
 
Makesa yao ni yapi yaani?
Wanaitwa na wamepewa taarifa awali au mapema,lengo kuu ni kupewa muhutaasari wa jinsi gani wafanye shuguli zao za mitandaoni bila kuvuka mipaka itakayowaletea matatizo,pia baadhi yao walishaingia kwenye matatizo,""to be have kwenye community ukizingatia kuna rika mbali mbali za kijamii.
 
Huyu Waziri kapewa ofisi inayomzidi uwezo ..... anafanya vitu vya kitoto sana .....hatuna la kufanya katika serikali hii wenye akili wanatupwa bali wajinga wanapewa cheo
Kila suala lina uzito kwa upande wake,jamii ni lazima ilishwe taswira bora na nzuri,tusipoilisha jamii maudhui mazuri,Je hapo baadae hali itakuwaje?,
SEREKALI NDIYO MAMA WA KILA ULEZI,
NA MH.WAZIRI YUPO SAHIHI PIA NI MWENYE HURUMA SANA,AMEWAITA NA KUWAONYA KUTOKUVUKA MIPAKA!?,HUU NI UPENDO MKUBWA SANA,NI URAFIKI WA KIPEKEE SANA,KIONGOZI MWINGINE ASINGEKUWA NA MUDA HUO, MWINGINE ""UKIKOSEA TU KAMATA SUKUMA NDANI"" / SASA HUYU ANAKULEENI AND THEN MNALETA DHARAU!?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…