Katambi avunja ngome ya Upinzani Ushetu amwombea kura mgombea wa CCM Comred Emmanuel Peter Cherehani

Kwani tqngu chadema inaanzishwa kulikuwa na tune huru?
Mkazoea mkawa wala damu wa CHADEMA mliokubuhu. SHUWAINI wakubwa MaCCM nyie. Damu za CHADEMA mtazikosa kwa muda, kama hamuwezi kuvumilia kuleni za CCM B = ACT Wazalendo.
 
Mungu ibariki CCM - Erythrocyte
 
CCM ya wazalendo changanya
ATC wazalendo ni dugu moja.
 
Kuna chama cha majizi standard kama Chadema?

Mlipewa Tsh 20bl za ruzuku ziko wapi?
Ukinijibu hili nafuta huu uzi
Kuongeza bila ushahidi Ni kuropoka.

Nenda ofisi ya CAG KAWASEMEE utakuwa umeisaidia Sana NCHI kinyume chake Ni poroja tu zenye urojo!
 
Masikini MaCCM yanapwaya mpaka yanatia huruma. Yamekosa damu za wana CHADEMA.
 
Asijisifie kwani anashindana na nani Kwanza?

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Ungenijibu hizi 346milX60= za ruzuku ziko wapi?

Jibu kwanza hili MKUU
Nenda kamuulize CAG alishakagua mahesabu.
Jaribu bahati yako unaweza pala mahela kwa kutoa taarifa za ubadhirifu aisee.
Au hauna Konektion usaidiwe?
 

Afisa kipenyo angali na cheo kile kile?
 
Mkazoea mkawa wala damu wa CHADEMA mliokubuhu. SHUWAINI wakubwa MaCCM nyie. Damu za CHADEMA mtazikosa kwa muda, kama hamuwezi kuvumilia kuleni za CCM B = ACT Wazalendo.
Sasa 2025 msilete pua zenu tena! Tutawatoa kamasi hizo
 
Huyu dogo Katambi anaushawishi sana tangu akiwa Chadema,
Ndio kiongozi wa kwanza kuachana na Chadema akiwa madarakani na ndio alifungulia watu wote kuhamia CCM kama CCM kunamtu wanapashwa kumshukuru kizazi hata kizazi ni huyu dogo
Alifika Bei Huyo Katambi
 
Hapo kuna uchaguzi gani??

Si yale yale ya kuprint form moja mnatoka na kusema mtu amepita bila kupingwa
 
Hili la Chadema kususia chaguzi ndogo na kushiriki uchaguzi mkuu naugana na wanaohama Chadema,

Kama mlisema mnaibiwa kura na Hayati Rais Magufuli vipi leo kwa Rais Samia nayeye amewaibia?

Chadema inajiua yenyewe tena polepole (gradually)
Bora kufa maskini ukiwa unajitambua kuliko kutafuta utajiri wa kujikomba. Hivi ukitumwa ukamtafute chadema utampata kweki? Nadhani unayeumia ni wewe kuliko wana chadema.
Kwa nini kwa sababu wao walishajitambua na kujikomboa kifikira, ccm mmebaki wale mnaoshabikia mkijua kuna connection ili mpate ajira zile za division 4 point 32.
Tukirudi kwenye uhalisia kupigika ni kwa kila mtanzania, tena ninyi wenye connection ndo mnapigika haswaa kwa sababu hakuna namna mnakwepa, sisi huku kitaa tunaweza kuwa tunaupiga mwingi sana
 
Mkuu mimi ni Chadema ila hili la kukimbia kila Chaguzi tunaua Chama, ACT-WAZALENDO wameshatupiki tayari,

CHADEMA ilishamalizwa na mwendazake kabla hajazikwa. Ife tena? Wewe umetokea wapi? Sasa hivi mwendo ni Hangaya tu. Ukishindwa nenda ACT.
 
Katambi huyu huyu aliyenunuliwa kama nyanya sokoni au mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…