Katambi avunja ngome ya Upinzani Ushetu amwombea kura mgombea wa CCM Comred Emmanuel Peter Cherehani

Katambi avunja ngome ya Upinzani Ushetu amwombea kura mgombea wa CCM Comred Emmanuel Peter Cherehani

Wanawashwa sana.ukiona hivyo jua wamekosa mvuto ndo maana wanaangaika na visivyowahusu.Nchi imepooza kila mahali ndo maana wanaangaika na cdm.
Mkuu jaribu kufuatilia ndio utagundua kuwa bila cdm kutajwa mahali basi mambo ya siasa yanadoda.
 
Unaona raha kukaa na makolokolo yasiyo na faida, wafaransa walijenga mnara ambao mapato yake nchi nzima inafaidika, sisi mapato yanakwenda kuijenga CCM! Uza.
Mbaya sana kiongozi
 
Kwa hiyo wewe huoni ni afadhali Chadema ife? Kwani unapenda isife? Mimi nafikiri ungefurahi Chadema ife ili uendelee mbele kwa mbele kwa ushidi. Siku hizi hata anayeshinda uchaguzi ndani ya CCM hafurahii ushindi wake na hana uhakika kama anapendwa au hapendwi. Ushindi siku zote ni mtamu pale panapokuwa na mwenye nguvu mnayeshindana naye ukamshinda. Hadi leo Yanga wanashangilia ushindi dhidi ya Simba kana kwamba hawakucheza na Geita Gold vile.
Ni kweli mkuu, huwezi furahia ushindi bila kumshinda mpinzani mwenye nguvu.
 
Yes, hujanielewa mkuu, namaanisha kuwa Chadema haishiriki huo uchaguzi kwanini mnakuja kulia humu jukwaani kuhusu Chadema wakati mnapambana na Act? Kama Chadema haishiriki just go on na uchaguzi kati yenu na Act, that's it.
Bila cdm kutajwa na wana ccm wanakosa mvuuto
 
Compared to whom?

Chadema uchafu ni mwingi nakubaliana
Ningumu Mungu kuishi huko ndio maana mabalaa hayaishi Chadema
Mabalaa kama yapi labda twambie!

Mabalaa ya kuwasingizia viongozi wao na kuwapa kesi za kutunga?

Mabalaa yapi hayo?
Au ya kumpiga risasi mh Lissu?

Hivi unatumia akili za samaki au ?
 
Kwa tume hii ya ujinga bora tu waache kushiriki ili hao wanaotaka kubaki madarakani wabaki. Tume, Wakurugenzi wanateuliwa na Mwenyekiti wa Chama mpinzani wako. Tanzania hakuna uchaguzi. Kuna huruma ya kupewa nafasi tu. Tume huru ndio Muarobaini wa CCM.
Ndiyo maana wana cdm hawataki kushiriki kama mhuri wa kuhalalisha ujambazi wa kura.
 
Kwa hiyo wewe huoni ni afadhali Chadema ife? Kwani unapenda isife? Mimi nafikiri ungefurahi Chadema ife ili uendelee mbele kwa mbele kwa ushidi. Siku hizi hata anayeshinda uchaguzi ndani ya CCM hafurahii ushindi wake na hana uhakika kama anapendwa au hapendwi. Ushindi siku zote ni mtamu pale panapokuwa na mwenye nguvu mnayeshindana naye ukamshinda. Hadi leo Yanga wanashangilia ushindi dhidi ya Simba kana kwamba hawakucheza na Geita Gold vile.
Trueeeeee
 
Ushawishi unaweza kuwa nje au ndani ya chama mkuu, Sijambo baya kama mtu anakuwa na ushawishi
Kunatakiwa kuwa na uthibitisho ulio wazi unapofanya conclusion.

Mimi nina uthibitisho uliodhahiri kuwa Katambi hana ushawishi. Maana katika idadi ya wajumbe karibia 400, aliweza kuwashawishi watu 2 tu wakampa kura, ya 3 ilikuwa ya kwake.

Kama siyo udikteta wa marehemu, Katambi asingeupata hata ubunge. Na hata marehemu alilithibitisho hilo pale Shinyanga alipohutubia kumwombea kura Katambi. Akawaambia wananchi wasiwe na kinyongo na Katambi, mtu wao wanayempenda, Masele, kuna nafasi kubwa amemwandalia.

Sasa wewe unayesema kuwa hana ushawishi ndani ya chama, bali ana ushawishi nje, leta uthibitisho. Tusipende kuwa wapiga porojo zisizo na pa kuegemea.

Kwa uthibitisho uliopo, ni kuwa Katambi hana ushawishi na wala siyo chaguo lao la ubunge wananchi wa Shinyanga. Chini ya uchaguzi huru ndani ya CCM, Katambi hawezi kushinda kura za maoni, na chini ya uchaguzi huru, Katambi hawezi kushinda kwenye uchaguzi wa wananchi. Uwezekano mkubwa, uchaguzi ujao hawezi kuwa mbunge.
 
Mkuu nyie bila chadema hamuwezi kufanya uchaguzi? Si mnashindana na Act sasa Chadema mnawatakia nini?

Walitakiwa wawepo ili zoezi la kuiba kura liwe tamu zaidi.

Hao ACT haitakuwepo hata haja ya kuwaibia kura hivyo raha itapungua sana.

Kwa kweli Chadema wamezingua sana kwa kususia.

Kuiba kura ni zaidi ya kula nyama ya binadamu.
 
Mkuu mimi ni Chadema ila hili la kukimbia kila Chaguzi tunaua Chama, ACT-WAZALENDO wameshatupiki tayari,
Mimi ni chadema ila:
Mimi sio chadema wala CCM ila:
Mimi sina chama chochote ila:

MaCCM akili zenu hazina akili.
 
Back
Top Bottom