Katambi avunja ngome ya Upinzani Ushetu amwombea kura mgombea wa CCM Comred Emmanuel Peter Cherehani

Hii ni ajabu. CDM hawashiriki uchaguzi lakini inaonekana kwamba ndio wapinzani kwa muktadha wa mwandishi. Hivi ccm kinachowasha ni kitu gani?
Wanawashwa sana.ukiona hivyo jua wamekosa mvuto ndo maana wanaangaika na visivyowahusu.Nchi imepooza kila mahali ndo maana wanaangaika na cdm.
 
Sasa kama chama kimekufa wasitafute chama kingine?

Karibu sana CCM Chama cha wachamungu tukiongoza na Mama yetu Kipenzi Samia Suluhu
Mkuu you are not serious, kwamba nyie ni wacha Mungu? Unless nasema tena unless unamaanisha ule uchamungu kama wa Jiwe.
 
Katambi pale Malangali High School alikuwa mkimya na siyo muongeaji kabisa,kweli kila mtu na njia yake
 
Leo mbona uchaguzi unafanyika leo?
Au sijakuelewa mkuu wangu
Yes, hujanielewa mkuu, namaanisha kuwa Chadema haishiriki huo uchaguzi kwanini mnakuja kulia humu jukwaani kuhusu Chadema wakati mnapambana na Act? Kama Chadema haishiriki just go on na uchaguzi kati yenu na Act, that's it.
 
Mkuu you are not serious, kwamba nyie ni wacha Mungu? Unless nasema tena unless unamaanisha ule uchamungu kama wa Jiwe.
Compared to whom?

Chadema uchafu ni mwingi nakubaliana
Ningumu Mungu kuishi huko ndio maana mabalaa hayaishi Chadema
 
Hili la Chadema kususia chaguzi ndogo na kushiriki uchaguzi mkuu naugana na wanaohama Chadema,

Kama mlisema mnaibiwa kura na Hayati Rais Magufuli vipi leo kwa Rais Samia nayeye amewaibia?

Chadema inajiua yenyewe tena polepole (gradually)
Kwa tume hii ya ujinga bora tu waache kushiriki ili hao wanaotaka kubaki madarakani wabaki. Tume, Wakurugenzi wanateuliwa na Mwenyekiti wa Chama mpinzani wako. Tanzania hakuna uchaguzi. Kuna huruma ya kupewa nafasi tu. Tume huru ndio Muarobaini wa CCM.
 
Kwa hiyo wewe huoni ni afadhali Chadema ife? Kwani unapenda isife? Mimi nafikiri ungefurahi Chadema ife ili uendelee mbele kwa mbele kwa ushidi. Siku hizi hata anayeshinda uchaguzi ndani ya CCM hafurahii ushindi wake na hana uhakika kama anapendwa au hapendwi. Ushindi siku zote ni mtamu pale panapokuwa na mwenye nguvu mnayeshindana naye ukamshinda. Hadi leo Yanga wanashangilia ushindi dhidi ya Simba kana kwamba hawakucheza na Geita Gold vile.
 
Mkisusa wenzenu wala Tanzania kuna vyma 19 vyenye usajili wa kudumu
 
Huyu dogo Katambi anaushawishi sana tangu akiwa Chadema,
Ndio kiongozi wa kwanza kuachana na Chadema akiwa madarakani na ndio alifungulia watu wote kuhamia CCM kama CCM kunamtu wanapashwa kumshukuru kizazi hata kizazi ni huyu dogo
Katambi acha utani bana 🤣 🤣
 
Kwa hiyo wewe huoni ni afadhali Chadema ife? Kwani unapenda isife? Mimi nafikiri ungefurahi Chadema ife ili uendelee mbele kwa mbele kwa ushidi. Siku hizi hata anayeshinda uchaguzi ndani ya CCM hafurahii ushindi wake na hana uhakika kama anapendwa au hapendwi. Ushindi siku zote ni mtamu pale panapokuwa na mwenye nguvu mnayeshindana naye ukamshinda. Hadi leo Yanga wanashangilia ushindi dhidi ya Simba kana kwamba hawakucheza na Geita Gold vile.
CCM ndio ilivianzisha hivi vyama na anavipa pesa ili viishi, Kwanini tutamani vife wakati ni vinyago vyetu?

Tumia akili hata kidogo tu mkuu
 
Mkisusa wenzenu wala Tanzania kuna vyma 19 vyenye usajili wa kudumu
Why daily mnaizungumzia CDM. Fanyeni siasa bila polisi ama hao MADED ndio mtajua nini maana ya siasa yaani mnapigwa peupe na alfajili. CCM bila Polisi na Tume fake hakuna ushindi.
 
Back
Top Bottom