Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Chama Cha MafisadiKaribu na wewe CCM mkuu wangu ,Chama kinachoamini kwenye uwezo sio ukada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama Cha MafisadiKaribu na wewe CCM mkuu wangu ,Chama kinachoamini kwenye uwezo sio ukada
Kwahiyo unampinga hayat?Kwanini msiende ili dunia ione hii regime ya Samia kama itawahujumu?
Chadema inajimaliza yenyewe msilaumu CCM,CCM tunaelewa umuhimu wa upinzani na tunataka uwepo kwa umadhubuti wa CCM yetu
Mkuu tumewapeni taarifa tu kuwa wanachama wenu wote wamesepa CCM kunabaya kwani hapo?Jamani jamani, mbona chadema haipo kwenye huo uchaguzi lakini CCM mnazungumzia chadema badala ya mnayepambana naye ACT!! Maajabu haya, uchaguzi ni ccm na Act lakini mjadala ni Chadema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nyie bila chadema hamuwezi kufanya uchaguzi? Si mnashindana na Act sasa Chadema mnawatakia nini?Shetani ni muhimu kutajwa madhabahuni
Alipigwa mimba na mmoja wa wana CdmMkuu chadema hawapo kwenye huo uchaguzi, au umevurugwa nao au una wenge lao nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengi wenu huwa mnatafuta fursa tu na Wala sio kupigania maslahi ya nchi hapo ndio pagumu.Karibu na wewe CCM mkuu wangu ,Chama kinachoamini kwenye uwezo sio ukada
🤣Na ikulu watahamishia Nairobi
Jibu.Chadema ilishakufa kitambo limebaki kundi la magaidi tu
Chama Cha Mafisadi
Sasa siasa za kufanya mwenyewe unavunjaJe kambi ya wengine ?!. Kama mnajiamini tume iwe huruKatambi avunja gome ya Upinzani Ushetu " Tunahamia CCM hatuwezi kubaki kwenye chama kinachosusia kila Uchaguzi " Je Nani ni Nani leo kati ya ACT-Wazalendo na CCM-Tanzania
"Tutampa Rais Samia ushindi mnono kama shukrani yetu kwake -wapigakura "
Katika Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Hayati Elias John Kuandikwa alishinda kwa Ushindi mwembamba baada ya kupata 56% ya kura zote zilizopigwa huku mpinzani wake wa karibu Bw Isaya Simon Bukakiye akiambulia 44% ya kura zote,Jimbo na Ushetu liliitesa sana CCM kwa kipindi kirefu hatimaye leo Katambi na viongozi wengine akiwemo Shaka Hamdu Shaka Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi,Crde Kenani Kihongosi Katibu Mkuu wa UVCCM-Taifa,Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati kuu Mizengo Kayanza Peter Pinda,Mbunge wa Viti Maalum Mariam Ditopile (Dogo Janja ),Iddy Khassim Mbunge wa Msalaa na Hussein Bashe Mbunge wa Nzega Mjini na Viongozi wengine wa Jimbo, Wilaya na Mkoa wameuzika rasmi Upinzani Ushetu hakika ni habari mbaya sana hii kona za Ufipa,
Patrobas Katambi mwanasiasa kijana machachari na mchamungu anayezifahamu vema siasa za kanda ya ziwa ( Usukumani) lakini pia ni kiongozi anayeufahamu Upinzani nje ndani amekuwa mwiba mkali hasa kwa Chadema-Tanzania na kuifanya CCM kuwa na mtu hatari zaidi kwa Upinzani kanda ya Ziwa na hapa Chadema lazima mkubali ukweli mchungu mmepoteza kijana kiungo namtakumbuka niyeye kuhamia kwake CCM kuliwarudisha wengine wengi CCM hili sote tunalifahamu,
Akitumia lugha ya kisukuma katika kumwombea kura ya ndiyo Mgombe wa CCM Ndg Emmanuel Peter Cherehani kwa wakazi wa jimbo la Ushetu Patrobas Katambi amedhihirisha unguli wake wa siasa kwa kuzoa mamia ya wanachama wa Upinzani jimboni humo waliolalamikia Chama chao kususia kila Uchaguzi huku wakishindwa kususia Uchaguzi Mkuu,
Katika Uchaguzi huu mdogo wa kuziba nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Hayati Elias John Kuandikwa utakaofanyika trh 09|10|2021 Upinzani mkali ni Kati ya Mgombea wa ACT-Wazakendo Ndg Julius Nkwabi Mabula na Mgombea wa CCM Ndg Emmanuel Peter Cherehani Mkt Mstaafu wa Chama kikuu cha Ushirika KACU chama kilichovunja rekodi ya kununua Pamba kwa bei ya juu tangu tupate Uhuru wa nchi hii ambayo ni Tshs 1,900 rekodi ambayo inambeba Cherehani kuweza kushinda katika jimbo lolote la Uchaguzi kanda ya ziwa,
#Kazi iendelee
View attachment 1968875
View attachment 1968876
View attachment 1968877
Hakuna ubaya mkuu, ila nilisikia Chadema imeshakufa, sasa hao wanachama unaodai ni wa Chadema nashindwa kabisa kuelewa hapo.Mkuu tumewapeni taarifa tu kuwa wanachama wenu wote wamesepa CCM kunabaya kwani hapo?
Kwani nyie ndio mnamsapoti hayati?
Tatizo lako ndiyo kwanza umetoka juzi mbwindeKuna chama cha majizi standard kama Chadema?
Mlipewa Tsh 20bl za ruzuku ziko wapi?
Ukinijibu hili nafuta huu uzi
Sasa nani angenshinda hebu tumwogope Mungu wetuSasa siasa za kufanya mwenyewe unavunjaJe kambi ya wengine ?!. Kama mnajiamini tume iwe huru
Patrobas mwenyewe alibebwa shinyanga mjini. Amshukuru marehemu kutumia mabavu kumuingiza bungeni.
Mkuu upo sahihi na hao kina kajamba nani wa lumumba hawakumbuki.Sasa siasa za kufanya mwenyewe unavunjaJe kambi ya wengine ?!. Kama mnajiamini tume iwe huru
Patrobas mwenyewe alibebwa shinyanga mjini. Amshukuru marehemu kutumia mabavu kumuingiza bungeni.
Ungenijibu hizi 346milX60= za ruzuku ziko wapi?Tatizo lako ndiyo kwanza umetoka juzi mbwinde
Ila 2020 na hata 2025 wataleta pua zao chini ya refa huyu huyu?Ni kweli hujui sababu??
Wanataka Tume Huru Kwanza, mgogoro wa refa utatuliwe ndio mechi ianze. Kwa Sasa wanasema refa wa Yanga, so Sina haiingizi timu uwajani. Simple!
Sisi hatumsapoti hayat kwa ubaguzi wake na kujiona yeye alikuwa kila kitu na kufikia há tua ya kusema atauwa upinzani sasa wewe unasema mnaupenda upinzani kwasababu gain wakati yule laanatullah alikuwa hataki hilo.Kwani nyie ndio mnamsapoti hayati?
Wewe kwa sifa ulio nazo za kuramba miguu hutakiwi kuchangia thread zinazo hitaji kutumia akili.Sasa nani angenshinda hebu tumwogope Mungu wetu