Katambi: Tusichafue taifa tukawa wakimbizi kwenye taifa lingine mkapoteza haki zenu zote

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa wito mzito kwa viongozi wa dini nchini, wakiwemo Masheikh, Maaskofu, Wachungaji na Mapadri, kushirikiana na Serikali katika kulinda amani na utulivu wa taifa ili kuzuia machafuko yanayoweza kuwapingia wananchi haki zao.

“Yakitokea machafuko kwenye nchi yetu tutaenda wapi? Nchi yetu hii tuna historia nzuri ya amani, ndio maana imekuwa kimbilio kwa nchi za jirani zilizopata matatizo na machafuko. Tusichafue taifa tukawa wakimbizi kwenye taifa lingine mkapoteza haki zenu zote. Niwaombe sana Maaskofu wote, Masheikh, Wachungaji na Mapadri watusaidie katika eneo hili la kutunza amani.”

Waziri Katambi amehakikisha kuwa Serikali iko makini na imejipanga kikamilifu kuhakikisha amani na mshikamano vilivyorithiwa kutoka kwa waasisi wa taifa vinaendelea kulindwa kwa nguvu zote

Screenshot 2026-07-21 202230.png
 
Yeye anaishi maisha ya kifahari huku akijipatia mamilioni ya fedha za walipa kodi wa nchi hii.

Anasahau kuwa walikuwa wanashindana kwa kutisha vijembe na mipasho kwa fadha Kitima?

Leo hii ndiyo wanawaona viongozi wa Dini kuwa wana muhimu kwenye jamii?
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa wito mzito kwa viongozi wa dini nchini, wakiwemo Masheikh, Maaskofu, Wachungaji na Mapadri, kushirikiana na Serikali katika kulinda amani na utulivu wa taifa ili kuzuia machafuko yanayoweza kuwapingia wananchi haki zao.

“Yakitokea machafuko kwenye nchi yetu tutaenda wapi? Nchi yetu hii tuna historia nzuri ya amani, ndio maana imekuwa kimbilio kwa nchi za jirani zilizopata matatizo na machafuko. Tusichafue taifa tukawa wakimbizi kwenye taifa lingine mkapoteza haki zenu zote. Niwaombe sana Maaskofu wote, Masheikh, Wachungaji na Mapadri watusaidie katika eneo hili la kutunza amani.”

Waziri Katambi amehakikisha kuwa Serikali iko makini na imejipanga kikamilifu kuhakikisha amani na mshikamano vilivyorithiwa kutoka kwa waasisi wa taifa vinaendelea kulindwa kwa nguvu zote

Huyu Katambi hajasoma Class Struggle.
Kada itakayokimbia machafuko ni ile ya utawala.
 
Back
Top Bottom