Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kufuru nyingine leo katoa Iriza new model ine ukitaka tamko nne au 4 ambazo kwa bei ya sokoni billion tatu na milion mia sita sawa na YUTONG 20
Leo Morogoro road ilikuwa ni kelele za mahoni wakati chuma zikiliacha jiji la Dar kuelekea Mbeya kwa msafara wa kuvutia zikiwa full headlight, full double hazard
Last week inasemekana pia alipeleka chuma kama hizo pia.. Nia yake kubwa ni kumkanyagisha miwaya mvimba macho anayeekea kukata pumzi kwenye njia zote za masafa marefu
Dar Bukoba
Dar Tunduma
Dar Mbeya
Dar Mwanza
Dar Kahama
Nilichokiona leo ni kile kitaa tunaita funika bovu! chuma zingine zote modeli ya mvimba macho zilikuwa zinapiga salute kubwq mbele ya mbabe IRIZA
Kwa kifupi alichofanya KATARAMA ni kutafuta heshima na kuonesha ubabe💪🏿💪🏿💪🏿
Picha kwa hisani ya joseph_mbeya 🙏🏿