Katarama kapiga tena kwenye mshono!

Katarama kapiga tena kwenye mshono!

JWTZ wameenda kuchukua Yutong za kutosha nina hakika kwenye vitabu imeekwa bei ya scania.
Una wakili?🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
Gari za mchina zinawahi sana kuchoka, namba unakuta DZ lakini bodi imetepeta na engine inaenda kama kondoo, tulitoka Mwanza na katarama na mwenzangu kapanda yutong sisi tulifika Dar saa nne asubuhi, wazee wa Yutong wakafika saa kumi jioni, halafu nauli ni ileile we kuwahi tu booking!
tulitoka Mwanza na katarama na mwenzangu kapanda yutong sisi tulifika Dar saa nne asubuhi, wazee wa Yutong wakafika saa kumi jioni, halafu nauli ni ileile we kuwahi tu booking!
Ankoli mama kawanunulia jewii Yutong, aibu tunaona ss
Za kupewa zile 🙌🏿🏃🏿🏃🏿
 
Gari bilioni tatu!!..kurudisha tu hela siyo leo, akili mbovu ya biashara
Engine warranty ni miaka 10, Yutong ni miaka miwili
Hiyo sekta ukiwekeza vizuri inalipa sana maana husafirishi abiria tuu
 
Siyo kwa 3b kwa bus mzee,tena sgr ikitroti
 
Kusema ukweli mchina ni disposable
 
Keshapiga hesabu zake vizuri tuu
 
Back
Top Bottom