Katarama kapiga tena kwenye mshono!

Lakin hela inakua ishaludisha na faida juu, sasa huo msacania had hela ikalud ni lini? Huo msania watter pump tu million 4, hiyo ya mchina laki na nunusu sasa nani hapo mwenye akili?
 
Lakin hela inakua ishaludisha na faida juu, sasa huo msacania had hela ikalud ni lini? Huo msania watter pump tu million 4, hiyo ya mchina laki na nunusu sasa nani hapo mwenye akili?
Chaguo ni lako Scania inadumu sana, na reselling value yake bado ni kubwa sana. kama una mtaji wa Yutong we bebesha abiria wako kwenye Yutong, Katarama ameaamua kustick kwenye quality na Brand na ndio kitu kilichomfanya awe tofauti na hao wa Yutong. na kikubwa tuzidi kumwombea sio wote tunataka kupanda michina ni basi tu ndio mingi iliyopo !!
 
Aisee hawa katarama wasikieni tu ila hawa jamaa wanamwaga moto gari ndogo tulipitwa na speed 137 maeneo ya dodoma na akapotea kabisa machoni hatukumwona tena.
 
Biashara ni sayansi, Aboud kazitema Scania.
 
Japo anatumia marcopolo, ila kwa yutong atachemsha tu. Mswahili usimpe kitu cha gharama akifanyie kazi, utafilisika.

Abood
Shabiby
Ratco
Allys

Hawa jamaa acha kabisa
 
Sema hapo kwenye yutong 20 sawa na iriza 4 ni bora muchina 20 ntakusanya hela ya kutosha japokuwa ni mnazi wa scania,mfano mdogo ni Ally's wanavyokimbizana na Katarama....upande wa sifa sawa ila kimaokoto bora muchina nyingi.
 
Katarama mwisho wake utakuwa mbaya sana, sijajua hiyo Return On Investment (ROI) anairudishaje?
nyie mtaona kipindi cha afcon atakavyokula izo pesa juzi congo walianza inshalaaah zifike ila ataula sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ