Katarama kapiga tena kwenye mshono!

Katarama kapiga tena kwenye mshono!

Kufuru nyingine leo katoa Iriza new model ine ukitaka tamko nne au 4 ambazo kwa bei ya sokoni billion tatu na milion mia sita sawa na YUTONG 20

Leo Morogoro road ilikuwa ni kelele za mahoni wakati chuma zikiliacha jiji la Dar kuelekea Mbeya kwa msafara wa kuvutia zikiwa full headlight, full double hazard

Last week inasemekana pia alipeleka chuma kama hizo pia.. Nia yake kubwa ni kumkanyagisha miwaya mvimba macho anayeekea kukata pumzi kwenye njia zote za masafa marefu

Dar Bukoba

Dar Tunduma

Dar Mbeya

Dar Mwanza

Dar Kahama

Nilichokiona leo ni kile kitaa tunaita funika bovu! chuma zingine zote modeli ya mvimba macho zilikuwa zinapiga salute kubwq mbele ya mbabe IRIZA

Kwa kifupi alichofanya KATARAMA ni kutafuta heshima na kuonesha ubabe💪🏿💪🏿💪🏿
Picha kwa hisani ya joseph_mbeya 🙏🏿
View attachment 3088266
900m/bus? Hiyo pesa haiwezi kurudi
 
Waarabu walianza na Scania na Volvo wakaachana nazo wakahamia kwa Mchina

Akajifunze kwa akina Abood na Shabiby wako kwenye game miaka zaidi ya 25

Ununue basi la bilioni 1 mwenzako anunue la milioni 200 mwisho wa siku nauli ni zilezile

Waarabu wanajua sana biashara
 
Mapokezi ya zmabasi
Kufuru nyingine leo katoa Iriza new model ine ukitaka tamko nne au 4 ambazo kwa bei ya sokoni billion tatu na milion mia sita sawa na YUTONG 20

Leo Morogoro road ilikuwa ni kelele za mahoni wakati chuma zikiliacha jiji la Dar kuelekea Mbeya kwa msafara wa kuvutia zikiwa full headlight, full double hazard

Last week inasemekana pia alipeleka chuma kama hizo pia.. Nia yake kubwa ni kumkanyagisha miwaya mvimba macho anayeekea kukata pumzi kwenye njia zote za masafa marefu

Dar Bukoba

Dar Tunduma

Dar Mbeya

Dar Mwanza

Dar Kahama

Nilichokiona leo ni kile kitaa tunaita funika bovu! chuma zingine zote modeli ya mvimba macho zilikuwa zinapiga salute kubwq mbele ya mbabe IRIZA

Kwa kifupi alichofanya KATARAMA ni kutafuta heshima na kuonesha ubabe💪🏿💪🏿💪🏿
Picha kwa hisani ya joseph_mbeya 🙏🏿
View attachment 3088266
Nyuzi nyingine zimekaa kitoto sana
 
Saa 12 asubuhi Mkuu. Zile Scania zilikuwa balaa. Basi la mwisho kuona linakimbia ilikuwa ni Lucky star ilikuwa mida ya saa tano au sita inapita mizani makambako ikitokea Dar means Mbeya ilikuwa inaingia saa nane kwenda 9 hiyo ni miaka ya 2003/4.
Huu ni uongo....na kama ni kweli basi chuma zilikuwa zinatupwa vibaya sana.
 
Huu ni uongo....na kama ni kweli basi chuma zilikuwa zinatupwa vibaya sana.
Kwani sasa hivi Mbeya gari zinaingia saa ngapi, kimsingi gari zilikuwa zinapelekwa mkuu plus time table ilikuwa vizuri hakuna kuingia kuingia stand hovyo kama huna abiria wa kushusha. Kwa kilometa hizo za Dar - Mbeya around saa 9 to 10 gari linaingia

Kilometa 450 to 550 zilikuwa zinakatwa Kwa saa 5 na nusu (exceptional) na saa 6 mpaka 7 (wale wanaoingia kawaida)
 
Unafikiri kaamka asubuhi na kuamu kuzinunua, °°° kafanya hesabu zake vizuri, na biashara kama hizo kuna share na watu wengine wana siasa.. wameweka mizigo yao.. then wanagawana
Hata waliofeli walifanya hesabu pia. Scandinavia ilikuwa hivyohivyo ina wawekezaji ikafirisika
 
Back
Top Bottom