Katarama mnawahi wapi?

Katarama mnawahi wapi?

Mimi na wewe nani mpumbavu? Unajua kinachozungumziwa au umedandia tu mada? Acha ujinga kwenye mada usizozielewa mwehu wewe
Kwa uelewa Gani ulionao? Wewe ni kitu Gani unaelewa kwenye magari kama hata kujieleza TU wewe mwenyewe huwezi. Anyways "Nguruwe kuchezea matope ni kutafuta faraja ya kadhia ya joto, ila binafamu kucheza kwenye tope ni ukichaa". Naomba nisiwe sehemu ya kuchezea tope.
 
Kwa uelewa Gani ulionao? Wewe ni kitu Gani unaelewa kwenye magari kama hata kujieleza TU wewe mwenyewe huwezi. Anyways "Nguruwe kuchezea matope ni kutafuta faraja ya kadhia ya joto, ila binafamu kucheza kwenye tope ni ukichaa". Naomba nisiwe sehemu ya kuchezea tope.
Tangu umeanza kucommet kwenye huu uzi hauna hoja yoyote ya maana uliyotoa

Wasted sperm that won the race
 
KATARAMA KATARAMA KATARAMA!!!

Nilichoshudia Jana saa 11 jioni ktk hii BUS JIPYA lililokua linaeleka Mwanza kama walifika salama wamshukuru Mungu na wasali sana maana alikuwa ana overtake magari zaidi 3 sehemu yenye mlima alikuwa anaua abiria wake na kusababishia ajali BUS LA ADVENTURE.

Naombeni kama raia mwema fuatilieni hii taarifa LATRA, USALAMA BARABARANI
LATRA wakiwaachia wa nini hao watu?

Pia Huwa kuna namba za Polisi wanatakiwa kubandika kweykuta ingetuma sms Kwa Wakuu wa Polisi wawashughulikie hao Katarama
 
Ninewahi kupanda bus lao mara mbili. Kuna wakati nadhani ni washindani wao wanapiga vita. Mara zote nilizopanda sikuona mwendo wa hatari Wala blind spot overtake. Badala yake sehemu zenye mwinuko hayo mabus mengine yakuwa yanapitwa kwa Kasi sana kutokana na uwezo wa bus husika(scania), Sasa kwa maoni yangu, huu ni ugomvi wa brand za magari na sio bus operators.
mkuu katarama kama kampuni inaajiri madereva wengi wenye tabia tofauti mfano tuseme madereva 10 lakini madereva 4 kati yao ndio hao wazee wa mbio na ligi barabarani ila ww umepata bahati umechengana nao mara zote ulipanda basi la hao madereva wastaarabu lakini wenzio wenye bahati mbaya ndoivo tena wanakata tiketi basi ndoi hilo la dereva kizibo kama vp kariri plate number ya basi la dereva mshenzi wakati wa kukata tiketi hakikisha hupangiwi basi hilo
 
Kwanza walipewa semina na pili mabasi yanafunguliwa kwa awamu

Mambo yote yaliyotendeka yako wazi. Hakuna hiyo kinyemela uliyosema

Mimi sina mabasi kama wewe unayo fuata sheria
Hahaaha eti wanapewa semina, nani anawapa semina? Hii nchii unaamini hizo semina zinazotolewa na wala rushwa??
 
KATARAMA KATARAMA KATARAMA!!!

Nilichoshudia Jana saa 11 jioni katika hii BUS JIPYA lililokua linaelekea Mwanza kama walifika salama wamshukuru Mungu na wasali sana maana alikuwa ana overtake magari zaidi 3 sehemu yenye mlima alikuwa anaua abiria wake na kusababishia ajali BUS LA ADVENTURE.

Naombeni kama raia mwema fuatilieni hii taarifa LATRA, USALAMA BARABARANI
Utakuwa kibaraka wa Ally's au ni Ally's Mwenyewe
 
Kwani hizo gari zinakuaga tupu???
Wanaopanda humo wanaenjoy tena wanawamwagia sifa kedekede.
Na kudhihirisha hilo gari zake hujaa wiki Moja kabla ni kama ndege tu , ukichelewa booking hupati nafasi, jamaa anachukiwa sababu ya biashara tu
 
Nyie vijana Masarange wa Ally's mnatukana hadi Baba zenu rudini Twitter mkabishane upuuzi wenu
Sarange ni nani? Tuko hapa kuongea fact hatuko kishabiki. Kuna wazee bora wangetia nyeto tu wamwage mbegu chini au wangevaa ndom kuliko wamewatia mimba mabinti za watu kuja kuzaa vituko duniani
 
Nilipita sehemu nikakuta watu wanashangilia kwelikweli na Mimi nikakaa kuuliza Kuna nini, nikajuzwa kuwa Kuna ligi!, ligi ya Nini?, kumbe ya mabasi aisee, nilisikitika...ikitokea ajali je!.
 
Watanzania ni watu wa hovyo sana

Mtu katoa taarifa muhimu, wengine wanakimbilia kusema jamaa ni mnazi wa Ally's

Hivi vitu ni vya kukemea haijalishi ni mabasi ya Ally's au Katarama au kampuni nyingine yoyote

Kunapokuwa na suala kama hili tusiwakingie vifua mabosi wa hizo kampuni, bwana Laurian (Katarama) na Amran (Ally's) wao biashara zao zitabaki palepale ila wewe utakayempoteza mpendwa wako ndio mazima ujue

Chuma zikianguka zinapelekwa gereji zinakuwa mpya. Ikifa mazima wanaagiza zingine

Uhai hauna spare abiria akifa amekufa akipata ulemavu wa kudumu imekula kwake

Acheni ujinga mbwa nyie
Wote tunajua na tulioko LATRA tunajua hizo fitna zenu na mnayemtegemea atatumbuliwa soon
 
Sarange ni nani? Tuko hapa kuongea fact hatuko kishabiki. Kuna wazee bora wangetia nyeto tu wamwage mbegu chini au wangevaa ndom kuliko wamewatia mimba mabinti za watu kuja kuzaa vituko duniani
Moderator angalieni huyu mtu , kauli zake na matusi anavunja Kanuni za JF
 
Pamoja na ukweli kwamba madereva "vichaa" wapo makampuni yote. Soko la bus Tanzania lilikuwa limetawaliwa na Scania kwa series zake mbalimbali.

Ghafla Machina kavamia soko na kumuondoa Scania (Swedish). Pamoja na mchina kuchukua nafasi wamiliki wengi wamekuwa wakibadili baadhi ya spear na kuweka za Scania pale engine, gearbox na differential zinapokuwa zimechoka na kuwa na power just like Scania.

Meanwhile mchina nae amekuwa akiboresha. Sasa Scania ametaka kurudi kwenye soko kwa kuzalisha series zinazoendana na mazingira na Bei muafaka zaidi, na Katarama ni mojawapo ya makampuni yamepata series hizo. Sasa vita ni kubwa sana kati Dragon/Yuotong/Higher etc vs Scania. Mashindano yapo kwenye three main areas.
1. Uimara wa board kwa maana ya ustahimilivu wa mazingira magumu, endurance wakati wa ajali, road stability.

2. Bei ya kununulia na gharama ya uendeshaji(Price, maintenance and operational costs). Scania guaranteed 6years bila overhaul ya engine plus buyuback guarantee.

3. Mwendokasi(torque )hasa kwenye sehemu za mwinuko unampatia guarantee mteja kutembea constant speed at all terrains, na pasipo ongezeko la matumizi makubwa ya mafuta.

Yapo mengine ambayo ni technical lakini watumiaji wengi wanaangali hayo zaidi.

Sasa hii vita unaweza kuiona wakatia Sauli amenunua Scania, Katarama nae amekuwa amekutana nayo.

Nimalizie kwa kusema madereva ni victims kwani "ukiwa na Binti mrembo mara nyingi hupenda kuonyesha urembo wake" Sasa katika kuonyesha urembo ndio wakati mwingine kukosa umakini, kuoverspeed mahali pasipohitajika. Ila vita ipo kwa warembo na hata wanaokuja hapa wengi wamefadhiliwa kusema vibaya kampuni ile.

Mabus yanayokimbia, na yanayofanya vurugu mbaya njiani ni mengi sana ila hayasemwi na hao wanaosema ila ikiwa brand ya bus ni tofauti wanapaza sauti. Hiki ndio kiini Cha yote
 
Kwani wewe usingependa Latra kuwa na mabasi yao ya mfano ndugu?

Kwamba wewe usingependa leading by examples ila tu management by walking around?
Mbona hasira
Ww ni mnazi, salange au chawa wa bosi
Anyways,sisi tutaendelea kuandika pm reports
 
Mbona hasira
Ww ni mnazi, salange au chawa wa bosi
Anyways,sisi tutaendelea kuandika pm reports

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
KATARAMA KATARAMA KATARAMA!!!

Nilichoshudia Jana saa 11 jioni katika hii BUS JIPYA lililokua linaelekea Mwanza kama walifika salama wamshukuru Mungu na wasali sana maana alikuwa ana overtake magari zaidi 3 sehemu yenye mlima alikuwa anaua abiria wake na kusababishia ajali BUS LA ADVENTURE.

Naombeni kama raia mwema fuatilieni hii taarifa LATRA, USALAMA BARABARANI
Acha kuwachafua..katalama wana usafiri bora na wenye hadhi ya juu sana.
 
Wewe konda wa yutong acha wivu wa kisenge,
Huwezi fananisha SCANIA BUS na hizo basi zenye majina ya ajabu zikashindane na passo
Acha ujinga hatuzungumzii brands za mabasi hapa, kinachozungumziwa ni usalama wa abiria. Mpuuzi mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom