[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani mm nampenda Sana na nikisikiliza clip zake lazima nichekeKuna ile Eti unataka Mimi nichangie harusi halafu akateseke waseme Katarina alichanga?? Hapana..kwani hatujui kwenye ndoa wanafanyaga nini....mimba kwanza ndo ntachanga sio nachanga Baada ya mwezi ndoa hakuna....nani anataka hasara...VP Na ile mumewe mlokole anaenda mkutanoni Iringaa kuombea Akamrudisha Eti hakuna Mkutano wala nini unamfuata Mchepuko...Akaanza kumuombea mumewe..Ile sala yake .lazima mume asiende tena mkutanoni..Kifupi..this lady has got Talent
Hahaaa umemaliza yote mkuu kuna mijitu Ina wivu hadi inaboaBaada ya kutokea Katharina Na akakukataa sasa unakuja kumponda..Sio lazima wote tumkubari ila piga UA kama Mungu kamtunuku kipaji Hata uwange vipi Atatoboa tu..Watu kama ninyi wambeya wachawi wenye wivu 'HATA KWETU WAPO'
Nasema hivyo kwa sababu niliwahi kuona clip yake moja akiigiza sauti ya kikurya haikubamba sana hivyo ni vyema akawa na utambulisho mmmoja wa sautiUyo dada sio mbulu ni mmeru na iyo ni lafudhi ya kaskazini.
Ha ha ha ha Prof Hamo ananiachaga hoi sana aiseh, na kuna jamaa mwingine nae ckuizi anakuja kasi sana kwenye ile show anaitwa MCA Tricky huyu wamuangalie sana, ila Katarina anajitahidi pia sema inabidi aje na vitu vipya atafika mbali zaidi, si nilisikia yupo chini ya management ya MC Pilipili siku hizi au ni rumors.Nimewahi katarin kumwona kwenye event moja. ..anajitahidi sana.
Ila nashauri aangalie sana content za comedy zake. ...anarudia rudia themes na ziko low profile sio classic kiivyo.
Atazame jamaa anaitwa prof. Hamo wa churchilshow kuna vitu ataokota kuhusiana na theme na content
Umeona eee? Huwa ananishangaza kwa kweliVichekesho vyake vingi ni vya kusikiliza (audio) too much talking....kwa 'stand up' ina work fine...ila kwa video ni kupotezea watu bando bure.
Alafu kwa bahati mbaya Wasanii wachekeshaji wengi Bongo uwezo wao ni kuongea tuu.....yule Pilipili ndio kachukua kipindi cha Wakenya kilichonuiwa kuwa "silent" yeye anajazia sauti....sasa sijui ni nini anafanya maskini ya Mungu.
Ingia instagram page yake utamuelewa!Pia kafanya sana stand up comedy na kina mc PilipiliKachekesha wapi huyo, mi ndo namuona leo
Mkuu naomba uni PM namba ya huyu dada.Habari zenu wakuu,
Asee sikuwahi kudhani kwamba kuna wanawake wenye kipaji cha comedy nimeona kwa Katarina yaani huyu Dada ni shidaa kila nikiangalia vipande vyake vya video nacheka mbavu sina. Alafu cha ajabu haendani na comedy kabisa ..
I just lover her.View attachment 379687View attachment 379688View attachment 379689
Lakini ni mchagaKama unamjua mwambie awe na I'd ya ssuti take ya kimbulu asijaribu kuiga sauti zingine kama kikurya, kichagga n.k akomae na sauti yake ya kimbulu kama kansiime alivyokuwa maarufu kwa kingereza chake cha kiganda /kihaya
Tafuta clip zakeKachekesha wapi huyo, mi ndo namuona leo