Katarina Karatu, mchekeshaji wa kike namba 1 Tanzania

Katarina Karatu, mchekeshaji wa kike namba 1 Tanzania

Kuna ile Eti unataka Mimi nichangie harusi halafu akateseke waseme Katarina alichanga?? Hapana..kwani hatujui kwenye ndoa wanafanyaga nini....mimba kwanza ndo ntachanga sio nachanga Baada ya mwezi ndoa hakuna....nani anataka hasara...VP Na ile mumewe mlokole anaenda mkutanoni Iringaa kuombea Akamrudisha Eti hakuna Mkutano wala nini unamfuata Mchepuko...Akaanza kumuombea mumewe..Ile sala yake .lazima mume asiende tena mkutanoni..Kifupi..this lady has got Talent
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani mm nampenda Sana na nikisikiliza clip zake lazima nicheke
 
Baada ya kutokea Katharina Na akakukataa sasa unakuja kumponda..Sio lazima wote tumkubari ila piga UA kama Mungu kamtunuku kipaji Hata uwange vipi Atatoboa tu..Watu kama ninyi wambeya wachawi wenye wivu 'HATA KWETU WAPO'
Hahaaa umemaliza yote mkuu kuna mijitu Ina wivu hadi inaboa
 
Nimewahi katarin kumwona kwenye event moja. ..anajitahidi sana.

Ila nashauri aangalie sana content za comedy zake. ...anarudia rudia themes na ziko low profile sio classic kiivyo.

Atazame jamaa anaitwa prof. Hamo wa churchilshow kuna vitu ataokota kuhusiana na theme na content
Ha ha ha ha Prof Hamo ananiachaga hoi sana aiseh, na kuna jamaa mwingine nae ckuizi anakuja kasi sana kwenye ile show anaitwa MCA Tricky huyu wamuangalie sana, ila Katarina anajitahidi pia sema inabidi aje na vitu vipya atafika mbali zaidi, si nilisikia yupo chini ya management ya MC Pilipili siku hizi au ni rumors.
 
Vichekesho vyake vingi ni vya kusikiliza (audio) too much talking....kwa 'stand up' ina work fine...ila kwa video ni kupotezea watu bando bure.

Alafu kwa bahati mbaya Wasanii wachekeshaji wengi Bongo uwezo wao ni kuongea tuu.....yule Pilipili ndio kachukua kipindi cha Wakenya kilichonuiwa kuwa "silent" yeye anajazia sauti....sasa sijui ni nini anafanya maskini ya Mungu.
Umeona eee? Huwa ananishangaza kwa kweli
 
Kama unamjua mwambie awe na I'd ya ssuti take ya kimbulu asijaribu kuiga sauti zingine kama kikurya, kichagga n.k akomae na sauti yake ya kimbulu kama kansiime alivyokuwa maarufu kwa kingereza chake cha kiganda /kihaya
Lakini ni mchaga
 
Back
Top Bottom