me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
- Thread starter
- #101
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani mm nampenda Sana na nikisikiliza clip zake lazima nichekeKuna ile Eti unataka Mimi nichangie harusi halafu akateseke waseme Katarina alichanga?? Hapana..kwani hatujui kwenye ndoa wanafanyaga nini....mimba kwanza ndo ntachanga sio nachanga Baada ya mwezi ndoa hakuna....nani anataka hasara...VP Na ile mumewe mlokole anaenda mkutanoni Iringaa kuombea Akamrudisha Eti hakuna Mkutano wala nini unamfuata Mchepuko...Akaanza kumuombea mumewe..Ile sala yake .lazima mume asiende tena mkutanoni..Kifupi..this lady has got Talent