Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Kweli maisha sio fair wengine wananunua mabasi halafu kuulizwa wanaogopwa.Fine laki mbili???!!! Duh
Taja manispaa hyoKweli maisha sio fair wengine wananunua mabasi halafu kuulizwa wanaogopwa
Mtaani kwangu kuna bwana mdogo anafanya kazi kama muhasibu mdaidizi wa manispaa flani, kajrnga Nyumba ya kama miln 300 ndani ya miezi mi'4
Hata kama ni mkopo benki walimkopa kwa dhamana ipi???
na ameijengea wapi?
aliomba elfu 70,000 tu 😁😁Fine laki mbili???!!! Duh
Hapo ameingiliwa 130,000/= [emoji16]amehukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini ya TSH.200,000 kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya TSH. 70,000[emoji848][emoji2827]