A Anonymous Guest Aug 22, 2025 #1 Askari hawa wamekuwa wakibambikizia watu kesi na kukamatwa hovyo. Tunaomba Mamlaka ziwachukulie hatua hawa matapeli kwa kivuli cha 'mgambo' ambao wanatembea na pingu ovyo na hatujui wanatoa wapi hizo pingu. Askari mgambo hao ni Isaya na Mashada.
Askari hawa wamekuwa wakibambikizia watu kesi na kukamatwa hovyo. Tunaomba Mamlaka ziwachukulie hatua hawa matapeli kwa kivuli cha 'mgambo' ambao wanatembea na pingu ovyo na hatujui wanatoa wapi hizo pingu. Askari mgambo hao ni Isaya na Mashada.
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 12,297 Reaction score 18,156 Aug 22, 2025 #2 Umeitendea haki sana jf
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,398 Reaction score 102,530 Aug 22, 2025 #3 Askari mgambo aki niletea mazoea, nasubiri usiku nimpasue Taya.