Katavi: Idara ya TAMISEMI yalalamikiwa zaidi na Wananchi TAKUKURU

Katavi: Idara ya TAMISEMI yalalamikiwa zaidi na Wananchi TAKUKURU

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Malalamiko 57 ya Rushwa yalifikishwa TAKUKURU Mkoani humo kati ya Januari - Machi 2022. Aidha, katika kipindi hicho Malalamiko mengine 4 ambayo hayakuhusisha Rushwa yalipokelewa

Uchunguzi wa Majalada 55 bado unaendelea, na Majalada mengine mawili Uchunguzi wake ulikamilika na Watuhumiwa kufikishwa Mahakamani

Malalamiko mengi zaidi yametolewa kwenye Idara za TAMISEMI, Ardhi na Utawala. Unadhani ni kwasababu gani?
 

Attachments

Back
Top Bottom