Katavi: Kijana ajiua baada ya Mama yake kukataa kujiunga CHADEMA

Bangi mbaya sana.
Hayo ni mahaba ya dhati Amanda Mchovu. Acha umbwembwe,ongea yanayoeleweka
 
Kijana pumbavu mno
 
CHADEMA 8s an enigma. Ni Chama cha multibillionaires kutoja mikoa tajiri, ajenda yao inapokekewa vizuri na walalahoi wa mokoa iliyoachwa nyuma. Karl Marx alisema categorically kuwa lumped ploretariats hawawezi kuungana na capitalists kwa sababu maisha ni vita usiyousha kati ya tavaka hizo. Conclusion? The youths are uninformed? Misinformed? Brainwashed?
 
Kijana amekufa na chama kimekufa kwa kuambulia mbunge mmoja.
 
Kampeni zikianza CCM itampa mom a ya mtoto mwingine.
 
Kajiua kwa fedheha za kupigwa Kofi na mama yake bila kosa. Kichwa cha habari kinapotosha ukweli. Kwani tukibishana kwa vile tunatofautiana misimam ndiyo nipigwe Kofi!!!! Huyu mama vipi!
 
Mwandishi ameandika naye kisiasa zaidi kwamba, ni kama analaumu Kwa Nini mama alikataa kujiunga na CHADEMA! SO akili za mwandishi na huyo kijana sidhani kama zinatofautiana nasema tuwe na political tolerance wakati yeye dhahiri ameshindwa kuioneaha
 
Haya mambo mengine haya jamani hata sielewi... hivi mtu kujiunga na chama cha siasa unachopenda ni lazima upewe ruksa na mzazi wako??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…