Katavi: Mwalimu wa Mafundisho akamatwa kwa kulawiti Watoto wanne

Katavi: Mwalimu wa Mafundisho akamatwa kwa kulawiti Watoto wanne

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limemkamata mwalimu wa mafundisho ya dini katika Kanisa la Katoliki Mpanda Mjini, Joseph John (27) akituhumiwa kuwalawiti watoto wanne.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Februari 10, 2022 Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi ACP, Ally Makame amesema mtuhumiwa ametenda kosa hilo maeneo tofauti.

Amesema mtuhumiwa huyo alikamatwa Februari 03, 2022 akiwalaghai watoto hao wamsindikize kwenda kufanya shughuli za biashara sehemu tofauti.

"Alikuwa anawabeba kwenye pikipiki yake baada ya kumaliza vipindi vyao vya masomo ya kidini kisha kuwafanyia ukatili huo," amesema Makame.

"Baada ya kumkamata tulimhoji akakiri kufanya hivyo, lakini baadhi ya watoto tuliowahoji wamekubali kufanyiwa," amesema.

Kamanda Makame amesema upelelezi wa shauri lake umekamilika na kwamba mtuhumiwa amefikishwa mahakamani.
 
Wakatoliki kama kawaida yao kulawiti watoto.

Ulawiti wa watoto ndio signature ya wakatoliki.

Vijana wengi sana wanaofanya kazi kwenye altare na wengine kufikia upadri hua wengi wamelawitiwa na mapadri, katekista, waalimu wa komunio na hata Askofu.

Ukatoliki na ulawiti watoto ni sawa na samaki na maji.
 
Hivi hizi dini (Christian, Muslims etc) mbona zina haya mambo sana ya ulawiti kwa watoto wadogo? ila ukiwakuta madhabauni huwezi kudhania kabisa.
Sio christian, unawaingiza wakristo wote kwenye makosa ya wakatoliki.

Wakatoliki ulawiti ndio kazi yao. Hao wakristo wengine unawaonea bure ila wakatoliki hiyo ndio identity yao.
 
Back
Top Bottom