Quran, 6:108--Tatizo akifanya muislam inahusishwa dini ila mkatoliki hamtaki ukatoliki wake uhusishwe, mbona mapadri hawaoi na hakuna sehemu biblia imeandika wasioe?
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda