Katavi: Mwalimu wa Mafundisho akamatwa kwa kulawiti Watoto wanne

Tatizo akifanya muislam inahusishwa dini ila mkatoliki hamtaki ukatoliki wake uhusishwe, mbona mapadri hawaoi na hakuna sehemu biblia imeandika wasioe?
Quran, 6:108--
 
Ulawiti hauna dini upo kila mahali mashuleni, Mitaani, Jela, Madrasa, Misikitini na hata Kanisani . Ni hulka mbovu tu ya baadhi ya wanajamiii...!
 
Asamehewe kama Mungu anavyotusamehe
7Γ—70
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limemkamata mwalimu wa mafundisho ya dini katika Kanisa la Katoliki Mpanda Mjini, Joseph John (27) akituhumiwa kuwalawiti watoto wanne.
Labda aliona makasisi wanaolalamikiwa kwingineko duniani hawashughulikiwi naye akafichamia humo
 
Hivi wazazi wamekubali kumwacha hadi anakamatwa bila kufanywa mishikaki!
Huyu gurudumu na mafuta ya taa yalimhusu
 

Naunga mkono maneno yako. Hoja yangu ni moja tu. Kosa kama hili lingekua limefanywa na Ustaadh wa Madrasa au Shehe au pengine mtu mwenye jina tu la kiustaadh basi huu ukumbi ungechafuka

Ingetukanwa dini nzima mpaka na mtume wao kwa kosa ambalo kimsingi dini zote zinalikemea na kulikataza.

Ni vizuri kua fair kwenye maoni juu ya makosa ya wengine bila kuwahusisha wasiohusika
 
Roman Catholic,Roman Catholic 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Roman Catholic,Roman Catholic 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Je iman Yako inahusika na wewe kutolewa usichana bila kuolewa au ni nafsi yako mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…