Katavi: Mwalimu wa Mafundisho akamatwa kwa kulawiti Watoto wanne

Madhara ya kula kitimoto.

#MaendeleoHayanaChama
 
Roman Catholic,Roman Catholic 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Je iman Yako inahusika na wewe kutolewa usichana bila kuolewa au ni nafsi yako mwenyewe?
Papa alishaomba radhi kwa hili...vipi una chochote Unataka niambia ndugu?
Ni Sawa Aliomba Radhi lakini Fahamu Kwamba Imani Katoliki haifundishi Ulawiti.
 
amekiri na watoto wamekiri na kumtambua, mahakamani ni kupoteza muda tu... kill him immediately in cynide, or cut him into pieces and feed the fish deep sea....
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] maaaaaamaaeeeeee. Nimecheka balaaa. Dah huu mchango wenye hasira ya kiwango cha juu.
 
Je iman Yako inahusika na wewe kutolewa usichana bila kuolewa au ni nafsi yako mwenyewe?
Ni Sawa Aliomba Radhi lakini Fahamu Kwamba Imani Katoliki haifundishi Ulawiti.
Lakini kwa matendo yanafanywa na viongozi wa RC yanaleta picha gani kwanye jamii?halafu Ni Jambo worldwide...Mara Padre wa Italy,Mara wa India ,Mara wa Namanyere haiingii kichwani...acha kutetea bro tuungane tukemee hili tuna watoto tutaogopa hata kupeleka watoto kufanya mafundisho ya kipaimara
 
Bado Ninakufundisha kwamba Imani Katoliki Inakataza Dhambi Yoyote Ile.

Tunamshukuru Mungu Kwa kufichua Magugu katika Shamba lake.
Kuna mashamba mengine Yana Magugu lakini hayaonekani yamejificha/fichwa.

Je Utatelekeza shamba sababu ya Magugu?

Miongoni mwa Viongozi Wengi Wema Kuna Viongozi na waamini waliojaribiwa na hawakuyashinda majaaribu. Je tulitukane Kanisa La Kristo Kwa ajili ya hao waliojaribiwa na hawakushinda?

🎤Mbali Shetani akimbie, Si mtumwa wake Tena. Nadhiri zangu nizishike, Nitashindana Vyema.
Adui Mbaya Namkataaa, Furaha zake na Tamaa. Milele simfuati.🎚️
 
Mkuu acha blah blah... tatizo Nyie mnakuwaga conservative Sana,hamtaki kubadilika,mpaka likukute mlangoni kwako ndio utaelewa kwa nini watu tunalaumu......Kila siku Nyie tu mnachoshaaa....ukute na wewe kasisi wewe
 
Kuna popote huo Ukatoliki unafundisha ushenzi kama huo?

Kwanini isiwe "Wanaume washenzi kama kawaida yao kulawiti watoto"

Hivi hapo tatizo ni Ukatoliki au ushenzi tu wa huyo mtu?!

Tatizo Ni sera ya kishenzy ya ukatoliki ya kutooa! Then minyege ya Mapadre mnaharibu watoto wa watu
 
Tatizo Ni sera ya kishenzy ya ukatoliki ya kutooa! Then minyege ya Mapadre mnaharibu watoto wa watu
Walimu wamaatundisho, Maostadh, kina Babu Seya Na wanaofira na kupost v
Mkuu acha blah blah... tatizo Nyie mnakuwaga conservative Sana,hamtaki kubadilika,mpaka likukute mlangoni kwako ndio utaelewa kwa nini watu tunalaumu......Kila siku Nyie tu mnachoshaaa....ukute na wewe kasisi wewe
Ninyi mnavyolawitiwa na kuposti mitandaoni Huwa ni Kwa sababu ya Imani zenu?
Tatizo Ni sera ya kishenzy ya ukatoliki ya kutooa! Then minyege ya Mapadre mnaharibu watoto wa watu
Kina Babu Seya, Maostadhi na mabaaradhuli weninge walawiti na wafirvji wengine wote Wana sera ya kutokuoa nadhani.
 
Namanyere tena? Ni katavi huko
 
Wakatoliki wana utaratibu wa hovyo Sana Na sijui wafuasi wana akili gani
 
Namanyere tena? Ni katavi huko
 
Wewe huna akili.Huwezi tetea Mambo yapo wazi kabisa,kiongozi wako mkuu sijui ndio Papa anaomba msamaha kwa matukio hayo wewe upo busy kujifanya unakana ,uwe na haya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…