msuyaeric
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 842
- 1,197
Vijana wa kikundi cha Kusakizya wilayani Mpanda mkoani Katavi ambao ni wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Serikali kupitia Halmashauri, wameeleza kuwa mkopo huo umewawezesha kupata ajira za kuduma kupitia mradi wa kusindika na kuuza mafuta ya alizeti.
Kwa mujibu Muhasibu wa kikundi cha Kusakizya George Menasj kikundi hicho kilipewa mkopo kwa mara ya kwanza wa Tsh. Milioni 11, na baadaye wakaongezewa mkopo wa Tsh. Milioni 40 ambao umewafanya kununua mashine kubwa zaidi ya kusindika mafuta ya alizeti ambayo ina uwezo wa kukamua tani 2 za mafuta ya alizeti.
Mradi huo kwa sasa umezalisha ajira mbalimbali hasa kwa wanawake na vijana vingine wa Mkoa wa Katavi