Katavi University of Agriculture iliishia wapi?

Katavi University of Agriculture (KUA) ilipata mpaka ithibati ya kutoa Shahada za Awali zaidi ya miaka 5 iliyopita, wakapewa mpaka Ardhi ya kuendeleza. Lakini yaliyobaki Ni historia. Kuna watu watafika Motoni wamechoka Sana aisee
Turejeshee kumbukumbu, ilianzia wapi? Hapa umetukumbusha mwisho.
 
Mkuu hapo ni watu wanatafuta ulaji wa vyeo, vice chancellor, deputy vice chancellor.....hayo maeneo yanatakiwa kuwa na centre za utafiti siyo kuanzisha chuo kipya wakati pale SUA hapajawa utilized at full capacity. Nilisikia na kingine kitajengwa kule Bitiama, sijui Mwl Nyerere University of Agricuture. Huwezi kujenga vyuo vikuu kila pahala, wakati kwenye kazi za field huhitaji watu wengi wenye degree bali wenye certificate na diploma......Badala ya kusisitiza kupanua elimu ya vyuo vya kati, wamekomaa na kuongeza vyuo vikuu......kwa hiyo utaona bongolala kinachotafutwa ni ulaji binafsi wa watu siyo ku address maswala ya msingi.​
 
Katavi University of Agriculture (KUA) ilipata mpaka ithibati ya kutoa Shahada za Awali zaidi ya miaka 5 iliyopita, wakapewa mpaka Ardhi ya kuendeleza. Lakini yaliyobaki Ni historia. Kuna watu watafika Motoni wamechoka Sana aisee
Acha katavi mkuu kuna kingine kule Butiama nao walipewa mpaka makamu mkuu wa chuo Prof. Msafiri.
 
Hatukuweka kwenye ilani zetu na tulivyofanya tathimini kwa wananchi hawakuona kipaumbele.
Mabango kwenye mikutano ya picha za viongozi wetu ndio kipaumbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…