Katavi University of Agriculture iliishia wapi?

Acha katavi mkuu kuna kingine kule Butiama nao walipewa mpaka makamu mkuu wa chuo Prof. Msafiri.
Hicho chuo nasikia pesa imepatikana na ujenzi unaendelea nafikiri ndani ya miaka miwili tutaona matokeo.
 
SWALI MOJA TU: Hivi inawezekana kumchagua Rais wa nchi alafu kukawa na jina la nchi (imagination country) ila nchi yenyewe haipo?.
 
SUA wanaomaliza hawana ajira wala hawakubaliki, nstaka tena katavi?
Acha kuongea uwongo Wewe.Nimesoma SUA,kila mwaka nimeona Kampuni zikija kusaili wahitimu wa pale ili kuwaajiri, mfano Kagera sugar,Mtibwa sugar, Kampuni mbalimbali za Kilimo,Siku hizi wanapeleka wahitimu nje ya nchi km Israel na USA kwaajili ya Internship Kwa mwaka mmoja huku wakilipwa kiasi Cha Dola Saba kwa saa,halafu Wengine huwa wanaajiriwa huko huko.
 
Taarifa zipi hizo?
Naendelea kujifunza siyo kila mtu ni great thinker jf.

Kwenye replies zangu ndani ya huu uzi click pale kwenye jina/vatar yangu zitakupeleka mpaka nilipoanzia.
 
Sioni taarifa ya kutafuta. Nilichofanya ni kitoa update ya kinachoendelea huko. Sina zaidi.
 
Acha kuongea uwongo Wewe.Nimesoma SUA,kila mwaka nimeona Kampuni zikija kusaili wahitimu wa pale ili kuwaajiri, mfano Kagera sugar,Mtibwa sugar, Kampuni mbalimbali za Kilimo,Siku hizi wanapeleka wahitimu nje ya nchi km Israel na USA kwaajili ya Internship Kwa mwaka mmoja huku wakilipwa kiasi Cha Dola Saba kwa saa,halafu Wengine huwa wanaajiriwa huko huko.
SUA hii hii?
 
UDSM inastahiki Uongozi mpya! Waliopo wamejichokea, hamna ubunifu zaidi ya UTII usio na tija
 
Back
Top Bottom