Katavi University of Agriculture iliishia wapi?

Katavi University of Agriculture iliishia wapi?

Katavi University of Agriculture (KUA) ilipata mpaka ithibati ya kutoa Shahada za Awali zaidi ya miaka 5 iliyopita, wakapewa mpaka Ardhi ya kuendeleza. Lakini yaliyobaki Ni historia. Kuna watu watafika Motoni wamechoka Sana aisee

View attachment 2002489
Harafu sio Katavi Bali ni Mizengo Pinda University of Agriculture ambayo ni Campus ya Sokoine
 
SUA wanaomaliza hawana ajira wala hawakubaliki, mnataka tena katavi?
Unasemaje? Hivi hujui NGO Karibu zote ukiacha za afya wamejaa graduates wa SUA? Hapo sijazungumzia mashirika ya UN na mengine makubwa ya serikali kama NEMC,TBS,TANAPA, TFNC, na binafsi kama TBL, COCA, AZAM,
 
Nashukuru Mkuu Kwa Kunidharau kiasi hicho,Sina haja ya kukwambia Elimu yangu.Hongera yako wewe uliyesoma sana,Mshukuru MUNGU kwa hatua hiyo nzuri.Lkn tumia usomi wako kutuelewesha sisi Wajinga ili tuelewe.
Mbona hata Mimi nilichaguliwa bees resources management upande wa degree 2021 pale mkuu! Ila nilienda Chuo kingine Tu.
Vile Tu kuna watu Wana dharau, upo sahihi mkuu nashangaa kauli yake mbovu, calm down.
 
Back
Top Bottom