Katavi University of Agriculture iliishia wapi?

Cha Butiama kipo na watumishi washa ajiriwa wanakula mshahara tu bila kazi wote hawapo kituoni kila mtu anafanya mambo yake.!
 
Haya sii yakufurahia ila ni matikisiko, kweli kweli
Ni kweli kabisa. Ila kila nikifikiria tunakoelekea moyo wangu huwa unalipuka kwa hofu. Tanzania kuna jeshi kubwa linatengenezwa na litakuja kuihangaisha sana nchi yetu. Wamachinga+Bodaboda+Wahitimu wasio na ajira. Wewe waache kina mama Samia wadhani wataendelea na usanii wanaofanya kwa muda mrefu. Siku nchi itakapolipuka itakuwa ngumu sana kuirudisha tena kwenye reli.
 
Chezea magufuli? Ubabaishaji kweli elimu alikomesha kisha akamalizia kutimua cheti feki.
 
Mbona kilishaanza.Jamaa yangu ameajiriwa pale,Kuna Diploma, Upande wa Digrii wanatoa Digrii ya nyuki.Sema hakiitwi Katavi Bali Mizengo pinda Campus,km branch ya SUA.
 
Mbona kilishaanza.Jamaa yangu ameajiriwa pale,Kuna Diploma, Upande wa Digrii wanatoa Digrii ya nyuki.Sema hakiitwi Katavi Bali Mizengo pinda Campus,km branch ya SUA.
Una elimu Kiwango gani? Maana kawaida ya sisi Ngumbaru hua tunaropoka tu
 
Una elimu Kiwango gani? Maana kawaida ya sisi Ngumbaru hua tunaropoka tu
Nashukuru Mkuu Kwa Kunidharau kiasi hicho,Sina haja ya kukwambia Elimu yangu.Hongera yako wewe uliyesoma sana,Mshukuru MUNGU kwa hatua hiyo nzuri.Lkn tumia usomi wako kutuelewesha sisi Wajinga ili tuelewe.
 
Kuna ile nyingine huko kwao na Baba wa Taifa kwa madhumuni hayohayo. Profesa Kambarage aliyekuwa SUA nimoja Kati ya wahadhiri hapo. Baba tupate mrejesho wa nini kinaendelea huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…