Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 259
Wanachi mkoani Katavi, wameiomba Serikali kuingilia kati tabia ya madereva wa vyombo vya usafiri mkoani humo kupandisha nauli bila kufuata utaratibu uliowekwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA).
Tabia hiyo ya kupandisha bei inadaiwa kuanza siku za hivi karibuni baada ya serikali kutangaza bei elekezi ya mafuta ya petroli na dizeli.
CHANZO: AZAM TV