Katekista Katoliki ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua Mlei

Kujipanga kuua mtu bila ya kuacha vielelezo ni vigumu sana kama ilivyo vigumu ngamia kupita kwenye tundu la sindano.
Ona mauza uza yaliyomtokea baada ya kuua!
Simu ya mke kukazana kuita na shimo la choo ni kuona sehemu salama ya kupotezea ushahidi.

Sasa haujaeleza ni namna gani walivyomtress alikokimbilia mafichoni na kwenda kumdabua kama kuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…