Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Ujue kwamba nyie ni makokolo. Ugaidi gani wa laki 6?. Mmeumiza na watu wawe upande wenu imeshindikana. Hii ni aibu sana kwa Taifa letuKwa nini Magaidi ya kiarabu uko USA wazungu hawakwenda kutoa hizo statement never give up . Huyo barozi mjinga sana. Magaidi wanaowakamata uko kwao barozi zetu au nchi nyingine walishaenda kuwaona hao Magaidi na kuwambia never give up.