Hela za MO hizo Simba haipati kitu kwani kila kitu anagharamia yeye iwe posho,kambi au mishahara na huduma nyinginezo zote.
zote achukue lakn atupe furaha kama ya jana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela za MO hizo Simba haipati kitu kwani kila kitu anagharamia yeye iwe posho,kambi au mishahara na huduma nyinginezo zote.
Ame ameongezwa kikosi cha stars leoBakari yupo CHAN na anauhakika wa namba Yanga & Taifa Stars
Ame anaungana na shabiki anaelipwa pesa ndefu kuliko mashabiki wote bongo (Morrison) kwenda Mapinduzi Cup akiwa na wida yake mfukoni
OnyangoAnachukua nafasi ya nani?