Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Mbona unene umeandika wewe, kiujumla tu Simba ajamzidi kitu chochote Ng'ombe kinachogusa Body Size iwe urefu, upana, unene, ujazo, uzito nk
Kwa fikra zako hujakosea, ila tukirudi kwenye uhalisia, you should be ashamed of yourself for being rigid minded. Next time, research first. Which is taller, a Cow or a Lion? [Answered]
sa=t&source=web&rct=j&opi=89978449&url=https://en.m.wikipedia.org/wiki/Pan...8QFnoECBIQAQ&usg=AOvVaw36UZJamPvrLQa9LtzHKZgk
for_fig1_340283152&ved=2ahUKEwjhspvghO2EAxVjh_0HHZrzCMcQFnoECDQQAQ&usg=AOvVaw13uRuvUO7qyZWtVIzPmcgD
Tatizo watu wengi hamjawai kumuona simba live bila chenga ila mmezoea kuwaona Ng'ombe kutokana n lifestyle yetu ya mjini. Ila ananeni na yule kiumbe. Simba hakupewa jina la mfalme wa mbuka kwa bahati mbaya.
Ni narudia tena, kitu cha pekee Ng'ombe alichomuacha simba ni unene, kuwa n pembe na uzito tuuu. Ila kiurefu kutoka ardhini hadi mabega(height) na urefu wa kutoka mkiani hadi kwenye pua(length), simba kamuacha chombe mbali tena, simba ni giant. Simba mkubwa amefika hadi mita 2.8, yani ni mrefu kuliko mrisho ngasa au Messi. Sio poa mjue. Binadamu hana chance yetote ya kupona kwa panga hata mkiwa3. Sio poa mjue. Ni hatari³.
Ushahidi nimeweka links hapo juu. Wakati huu ukibisha bisha kwa Ushahidi, Google tu n uhalisia utauona.
Nje ya hivyo porojo kawapigie watoto wa vidudu n chekechea.
 
Hiyo Picha huyo Chatu kammeza Mlinzi wa WFP mwenye AK47 wakati anavuka Fensi ndio akapigwa Zap akaing'ata Fence ndio kufia hapo hapo na asubuhi akakutwa hivyo hivyo.

Sudan Kusini.
Huyo mlinzi yupo wapi? Picha hiyo hiyo wengine wanasema kaimeza pikipiki... Huo ni uongo.
 
Huyo mlinzi yupo wapi? Picha hiyo hiyo wengine wanasema kaimeza pikipiki... Huo ni uongo.
Mlinzi yuko tumboni
PythonSudan.jpg
 
Jaguar hawezi lingana nguvu na Simba na haijawai kitokea, Lion is more powerful than Jaguar no weightclass mbili tofauti Jaguar anachomzidi Simba ni Agility, Flexibility na Aggressive but in raw strength Simba weight class ya Tiger.

Kwenye Simba kutokuweza kishambulia mamba na Jaguar kiweza ni Aggressive ya Jaguar na Agility inamsaidia Jaguar.
Jaguar anawashambulia camens sio mamba wala alligators..
Camens ni wadogo sana kuliko hata jaguars.
Mamba na alligators ni wakubwa sana jaguar asingeweza huo mziki. Ila hawawezi kukutana maana kijiographia hawaingiliani.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Ila tuseme ukweli binadamu kiumbe dhaifu sana.
Yaani hakuna kiumbe ambacho tunalingana ukubwa au uzito ambacho unaweza kukimudu kukikalisha chini bila kutumia siraha.

Kucha zetu zenyewe umekuwa urembo tu, meno ya kutafunia mishikaki tena iliyokwiva.
Viumbe wengine angalau wanayo hata sauti ya kutisha, sisi nayo hatuna.
 
Chatu utamuweza. Hana mbio ya kukushambulia, kukupata ni mpaka akuvizie

Unamkata hapo kichwani

Simba ndo atakumaliza kirahisi, ana nguvu, mbio kuliko wewe,

Kucha 1.5 in kama nyembe, akikurukia na kilo zake 200+ utadondoka tu

Na pia unakuwa umejengewa 'fear trigger' ya kumuogopa simba, anavyosimuliwa, ukimuona kwenye video,

kwahiyo mkikutana macho kwa macho utakuwa na hofu kubwa, hutoweza kufikiri haraka haraka
Mamba kwenye maji hutamuweza Kwa sababu lile ni eneo lake la kujidai halaf wewe hujazoea pia na nguvu syo Haba Yale meno yake hapo mnyonge ni chatu ambae Hadi akuvizie
 
Chatu anazungusha Ile coil kwenye windo lake sio Kwa ajili ya kuvunja vunja mifupa ila kuzuia damu isitembee mwilini so atabana mpaka atapo sense moyo haudundi Tena. Na pia anabana Ili kushape anachotaka kukimeza kama vile sisi tunavotengeneza tonge la ugali mkononi.
Meno yake yametazamia ndan ikimaanisha akianza kumeza ktu hakuna namna hiko kinaweza kurudi nje Tena iwe Kwa kuvutwa ama vyovyote
 
Kila mnyama ana weekness yake chatu mbio hana, mamba nchi kavu mgambo tu hana jipya, simba ukimwangalia directly machoni ana aibu kama unamtongoza si ajabu akaanza kutafuna vidole na kuvunja vijiti ila ombea usikutane na nyegele ni mpaka akukague we ni jinsia gani
Hahaha akikuuta jike je
 
Back
Top Bottom