Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Cha kushangaza Simba akiwa Baba mtoto anakuwa ni mkubwa kuliko Wazazi lakini Tiger akiwa Baba mtoto anakuwa mdogo.

Simba Baba Tiger Mama 👇

View attachment 2929292
lions-tigers-ligers-tigons-mammals.jpg
 
Hao wote Wana ACDs kubwa kuliko mwanadamu.
Acds ni kipimo cha nguvu ya Imani. Kinapima kiwango cha Nguvu,hofu,ujasili,utiisho,nk.
Simba anasoma saikolojia Yako kupima utisho Fear thus mkiwa kundi WA kwanza kukimbia ndio simba anaunga nae.
Ishu ya nguvu utoboi kwa yeyeto.
Angalau panga kwa chatu uogopa jeraha,mamba uwahi toka majini.
Mbio haumshindi simba.
Wote hao ukamata kwa timing calculated ya kustukiza adui kabla haujajiandaa tayari ushadakwa wanawahi kukukata pumzi dakika tatu nyingi maana wanaujua mziki wa binadamu.
So huwa wanakuona kabla haujawaona
 
Wote wanakuzidi uzito mara kadhaa
Na wote ni wawindaji
Kama ukiingia kwenye mtego wao huchomoki
Simba akutege au asikutege kama ana njaa wewe ndio mboga
Mamba kwa nchi kavu unaweza kuchomoka kama ni kiungo kama mguu
Ila kwenye maji huna ujanja
Chatu akijizungusha tu kwaheri
 
Hapa angalia King Cobra Bingwa mla Nyoka uroho wake akataka kumla Mtoto wa Chatu King Cobra anasumu kali alipomng'ata Chatu Chatu nae akamnyonga wote wakafa Chatu kafa kwa sumu na King Cobra akanyongwa hadi kufa.👇
screen-shot-2018-02-05-at-9-34-13-am.png

King kapigwa Kabari ya nguvu papo hapo😁

Na huyo Chatu ni mdogo sana ogopa Chatu.
 
😁Hiyo Story ina walakini Chatu akikuambush anakubana hata hiyo pumzi ya kumng'ata itatoka wapi?

Ni ndani ya sekunde tano unakuwa teyari umeshabanwa.
Munamu Overrate chatu kama Ana Super Power kuna video kibao chatu anakama kiumbe kiumbe kinajitahidi kujinasua wengine wanafanikiwa suala la baada ya kukupiga Ambush Amekubana vizuri pia una awareness kama ajakubana vizuri na kiakili upo aware unaenda against nae tu
 
Weka hizo Video na sisi tujiridhishe au tuwekee link.
 
Munamu Overrate chatu kama Ana Super Power kuna video kibao chatu anakama kiumbe kiumbe kinajitahidi kujinasua wengine wanafanikiwa suala la baada ya kukupiga Ambush Amekubana vizuri pia una awareness kama ajakubana vizuri na kiakili upo aware unaenda against nae tu
Yule uwezekano wa kujinasua ni mdogo kuliko kujinasua kwa simba

Simba kwa binadamu hashambulii kama anavyotaftq chakula anashambulia kujeruhi. Chatu uwezekano wa kushindwa akisha kudaka ni atokee kiumbe mwingine aingilie kati kama kumpiga au kum harass otherwise ni asilimia ndogo sana akashindwa
 
wewe ulichoandika ni ukweli 1000% mimi mpaka wa leo nipo kisiwani

Mwaka jana wameua watu wengi sana mixer mbwa na ng'ombe

Wameacha majeruhi wengi sana

Hao viumbe ni hatari

Wao hawali sehemu ngumu wanakula kuanzia tumboni mpaka kwenye sehemu za siri na matako, kichwa na miguu wanatunza

Na mamba hali peke yake lazima akupeleke kwenye familia yake ili wasaidiane kukata nyama

Mungu fundi
🤣🤣 mkuu watu wanachukulia poa asee.
 
Hata hao crocodile wangekuwa wanaishi habitat moja na Jaguar wangeliwa sana tu unless awe mkubwa kabisa, so croco wanajizolea ujiko kwasababu wana bahati hio.
Nimesema leopard sio jaguar mkuu, hata jaguar hawezi kumla mamba am sure, jaguar na simba ni kama wanalingana nguvu hivi, the quiz is mbona simba hamli mamba? Pia usichukulie poa ngozi ya mamba mkuu.
 
Back
Top Bottom